Kama kuna sehemu hii nchi inafeli ni kwenye Uchafu wa hii miji plus mipango miji ya hovyo sana, Majiji yamejaaa majumba na Masoko kila kona, Viwanja ambavyo hata zingejengwa Bustani wamepewa...
Ndugu wanabodi,
naleta kwenu hoja hii ili tuijadili kwa pamoja ili nikipata ushauri mzuri nipate mahali pakuanzia kumpeleka Jecha mahakamani kwan kimsingi amevunja katiba.
Nijuavyo mimi...
Thi is the reason:
The cost of living with people or in a society that ignores politics or that takes if for granted, and yet the same people go to polling stations during election process, is...
Habari ndugu wadau.Tangu mwaka 1995 tumekuwa tunafanya uchaguzi hewa na kutumia fedha kiasi kikubwa wakati tuna matatizo ya kumwaga.
Sasa naomba tukubaliane kama hatuko tayari kupata katiba mpya...
Wamerudi maeneo ya Tabata na hawa madogo wanapovamia hujinasibu kua hakuna wa kuwafanya kitu na huahidi kurudi eneo la tukio tena baada ya mda.
Hawa watu hushirikiana na Polisi hasa kugawana vitu...
Uzalendo ni pamoja na kuyaweka wazi yanayotukera katika nchi bila kujali yanafanywa na nani.
Ndugu zetu pale kijitonyama, wasiojulikana, waziri Masauni hadi mama Samia tuvumiliane tu. Uzalendo...
Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imesema, imebaini Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unatengeneza nakisi katika mapato na matumizi, jambo ambalo linatishia uhai wa mfuko...
Mbunge mstaafu wa Rombo ( CHADEMA) Mh. Selasini amesema tozo zinaumiza Wananchi hivyo zifutwe.
Selasini amesema tozo hazikufanyiwa utafiti ndio sababu wananchi wanaumizwa hivyo zifutwe na...
Wanabodi,
Natafakari kidogo hali ya Zanzibar!. Kujitangazia matokeo ni kosa la jinai!, kama ni kweli Maalim Seif, amejitangazia ushindi, kwa nini mpaka sasa hajashitakiwa?
Na kilichofanywa na...
Wadau, amani iwe kwenu.
Ni nchi chache duniani zimebahatika kuwa na kiongozi mwenye maono na fikra ya muda mrefu juu ya nchi yake. Rais Magufuli ni mmoja wapo. Ameyastudy mazingira ya Tanzania na...
Ziara ya Rais Samia Suluh Hassan Mkoani Njombe, kijiji cha Mtwango.
Waziri wa Kilimo Mh. Hussein Bashe ametoa uhakika wa upatikanaji wa mbolea kwa bei ya ruzuku hata kwa wakulima ambao hawatakuwa...
Wadau, amani iwe kwenu.
Kama kuna watu wanatamani Utawala wa Rais Magufuli usifike 2020, basi miongoni mwao ni hawa wafuatano.
1. Wauzaji na watumiaji wa Madawa ya Kulevya
2. Wakwepa kodi na...
Iringa: Katibu wa Taasisi ya CINT, Innocent Nganyagwa polisi wamkamata Innocent Nganyagwa, adhalilishwa na kuimbishwa nyimbo za reggae ili aachiliwe huru. Baadaye wakamuachi kwa kile kilichodaiwa...
Tanzania imeanza kuhama toka nchi ya dunia ya tatu ambapo kila kitu kinafanywa manual, Sasa tunaelekea kuwa ni nchi ya dunia ya kwanza, vitu vingi vitakuwa mechanized, kwa kuanzia huduma zote za...
Wanabodi,
Angalizo: Facts are very stubborn things, hivyo ninachoandika hapa ni facts, yaani kitu halisi kilichopo na sio dhana, wala sio hisia, wala mambo ya kufikirika, hivyo yoyote...
Nimetuma 100,000 kwenda tigo pesa kwa simbanking, VAT sh. 974.70, govt levy sh. 1,009.00, TMS CHARGE TIGO 5,415.00, wenye akili timamu nimekatwa sh 7,398.7 kwa transaction hii moja tu. Pesa...
Wanabodi,
Preamble: Mimi ni mwana fasihi, hapa nimetumia tamathali za semi, kwa kubakwa kwa demokrasia, na sio kubakwa kule kwa wale wenye mawazo machafu!.
Hii ni thread ya swali!, "Jee Kubakwa...
Kwamba wananchi wanalalama juu ya ugumu wa maisha. Biashara ngumu huku mzunguko wa pesa upo chini.
Ajira za kugombania kama watoto wanagombania peremende.
Tozo lukuki kama vile hakuna vyanzo...
Freeman Mbowe kama binadamu ana mapungufu yake lakini anapoongea na Taifa huwa anatoa kauli ya kiuongozi
Tunahitaji Kiongozi Jasiri kama huyu kuongoza Upinzani
Bila Upinzani Imara CCM itamezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.