Data na Biti
Member
- Apr 4, 2011
- 40
- 13
Mimi kuna ishu hii inanidatisha...nimesikia kwa chinichini TTCL imeingia kwenye 4G sijajua ni kisiasa au vp!!!!?...maana sijaona hata tangazo lao moja....hivi ni wanaifanyia test au wameingia kabisa kwenye market....mimi bado nazidi kudata...
Sasa pamoja na hayo hivi hawa wanashindana na nani... Halotel!!!?...Kama halotel mimi ninaamini wanamkono mkubwa sana serikalini haiwezekani serikali ikatoa sapoti kubwa namna ile wakati wa uzinduzi wao mpaka makamu raisi na waziri mkuu wote ndani...huu uzinduzi wa TTCL cjui hata nani alikuepo hebu nisaidieni!!!...mimi ninaona TTCL imehujumiwa kiasi kikubwa sana na sio kwamba hawana uwezo wa kufanya biashara ila tu magumashi ya kifisadi mara tunasikia inamilikiwa na airtel...hivi nataka kuuliza kampuni itamilikiwa vipi na mshindani wako...yaani hapa mimi nazidi kudata...huu ni ufisadi kweupe...duh yaani baada ya miaka zaidi ya kumi na tano ndo kwanza naiskia TTCL kwenye biashara eti imezindua 4G...je wanacompete na nani kwenye market...kama halotel wana fiber nchi zima zaidi ya mkongo wa taifa mpaka kila wilaya wamefika na inasapoti kubwa serikalini na sijasikia TTCL ina sapoti yoyote serikalini kama halotel...na kama 4G tigo wanayo ya kufa mtu....
Napenda kuuliza hiyo chini kwa chini 4G ya TTCL wanacompete na nani kabla sijazidi kudata...Mimi naona hili ni moja ya majipu yanayosubiriwa kutumbuliwa
Kama maisha bora mimi ninaona tutasubiri sana kuyapata...sometimes ukifikiria hii nchi inavyoendeshwa unatamani kulia..lakini ndo hivo tumezaliwa tanzania for purpose...tumuombe mungu one day viongozi wote watabadilika...