Arusha. Mwanasiasa mkongwe nchini Christopher Mtikila ameshinda kesi aliyofungua Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika (AfCHPR) mjini Arusha akidai Tanzania inakiuka demokrasia inapozuia wagombea...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na jitihada za kuzuia uhalifu na kufanya misako mikali ya kuwafuatilia wahalifu mbalimbali wa makosa ya jinai. Tarehe 12 Septemba 2022 majira...
Hii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka Rais wetu Mstaafu kusimamia uchaguzi.
Yaani nimesoma gazetini wageni...
Wanabodi, hukumu kuhusu kesi ya kikatiba kuruhusu mgombea binafsi uchaguzi mkuu wa mwaka huu, itatolewa na Mahakama Kuu ya Rufani ya Tanzania, siku ya Alhamisi ya keshokutwa.
Swali ni je hukumu...
Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa ccm , Samia Suluhu Hassan ni miongoni wa viongozi kadhaa walioalikwa kutokea Tanzania na Africa ili kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mpya wa Kenya Dr...
1. Machi 9 , 2018 Rais Magufuli alifungua tawi la CRDB, chato Kijiji cha Kilimani alipozaliwa
2. Mwezi June 2016 Serikali ilianza rasmi kujenga uwanja wa ndege ambao hivi karibuni waziri...
❝ I want to tell the people of Kenya that you are finally free. You don’t have to talk with each other through Whatsapp for fear of being recorded and persecuted by state agencies❝ - Hon. Rigathi...
Kwangu mimi sioni hicho kizuri ila kwa wengi wenu mtakuja kusema: "kweli kizuri hakidumu".
Wengi wenu mtakuwa mmesahau kuwa waliingilia kazi ya mungu na kujipa mamlaka ya kuamua fulani ni mgonjwa...
Video ni Naibu wa Rais wa Kenya Mh. Rigath Gachagua mapema siku ya leo amelazimika kurudia tena kuapa baada ya kushikwa na kiwewe hivyo kukosea kuapa. Unadhani ni Kwa Nini Naibu wa Rais wa Kenya...
Mbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake.
Majirani zetu karibia wote...
Tanzania kama nchi na Taifa imejaliwa kuwa na kila aina ya neema kwa rasilimali.Tuna aridhi nzuri kwa ajili ya kilimo,tuna mbuga za wanyama,bahari ,mito na maziwa pia .
Lakini pia nguvu kazi ipo...
Mamlaka ya ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(TAWA) wafafanua kuhusu ongezeko la Tembo baada ya kunukuliwa vibaya. Ongezeko la Tembo halihatarishi maisha ya Watu na Mali. Uwindaji hufanywa kwa...
-Teuzi zimejaa Wakwe, mashemeji was Mitala kina Mchengerwa ambao hata waboronge vipi hawatatumbuliwa.
- Teuzi za watoto was vigogo kina Nape, Makamba, ambao kiuhalisia hawanq jipya tRNA zaidi...
Udart kushindwa kuendesha mwendokasi sio suala la kushangaa ni unafki sana kushangaa kama wameshindwa.
Kingwangala kama walivyo watanzania wengi anasumbuliwa na unafiki pale wanaposhangaa kuona...
Wanajamiiforum habari, Kama kuna viongozi wenye karama ya uongozi duniani ni pamoja Mwanamama Mhandisi Marryprisca Mahundi, Kwanza amejishusha, anafanya kazi bila kuchoka pamoja na Jografia ya...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba wasaidie mgao wa fedha za tozo ulizokusanya walimu wa Sekondari ya Hassanal Damji waweze kujenga vyoo waondokane na aibu hii kubwa.
Barua ya Wazi kwa Waziri wa...
Taratibu za maziko ya Malkia Elizabeth wa Uingereza karibia zifanane na zile tulizoshuhudia wakati wa msiba wa kitaifa wa mpendwa wetu Shujaa Magufuli.
Mtu mwema siku zote huliliwa na Taifa...
Kwasasa ni wazi rais wetu John Joseph Pombe Magufuli ameamua kula sahani moja na mabeberu.
Ukweli ni kwamba kwa sasa hatuwaamini na hawatuamini tena.
Mwisho wa yote ni hitimisho la uongozi wa...
Enzi hizo kwa ukame tunaopitia kwenye nchi hii,ingekuwa kila mtaa ni kelele za majenereta,tawala zilizopita,njia rahisi Ilikuwa ni kusema maji yamepungua kihansi kutokana na ukosefu wa mvua,na...