Habari!
•Trafiki wanachukua pesa mchana kweeupe kwenye madaladala na Bajaji.
• polisi wa doria za pikipiki (tigo) nao wanachukua rushwa mchana kweeupe bila woga kutoka kwa bodaboda.
•Mahakamani...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekoleza moto kuhusu kilio cha tozo za miamala ya kielektroniki huku kikitaka Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba kuachia ngazi au...
Mda huu nipo natazama mkutano wa bunge. MKUTANO WA 8 KIKAO CHA 2.
Kuna marekebisho ya sheria yanafanyika mda huu. yakiongozwa na wanasheria mkuu wa serikali ila cha kushangaza lugha inayotumika...
Kama hana hiyo taarifa basi mfikishieni hizi taarifa.
Mchele kwa sasa low quality unaupata kwa 3000-3200, high quality unaenda mpaka 4000. Unga, maharage, dagaa, tambi, ngano zote zinazidi kupaa...
Kumbe mama Samia sio wa mchezo mchezo.
Uwanja ulilipuka kwa shangwe la namna yake pale mama Samia alipotambulishwa Kama Iron lady , uwanja ulisimama kwa sekunde karibia 70.
Kwanini Wakenya...
Na. Josephine Majura na Scola Malinga WFM- Dar es Salaam
Serikali ya Tanzania na Jamhuri ya Korea zimetiliana saini mikopo nafuu ya jumla ya dola za Marekani bilioni moja sawa na shilingi...
Luhanga Mpina ameyasema haya bungeni na kuhoji kuhusu mamlaka za uangalizi mahabusu kuwa wasimamizi wa mahabusu hizo akisema manyanyaso yanaweza kutokea na hakutakuwa wa kuwawajibisha kwasababu...
Hii ndiyo taarifa mpya ambayo inasambaa kwa kasi sana duniani kwa sasa, kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar...
Akiwa Tabora kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amewataka wananchi wapuuze taarifa zinazoenezwa kuhusu tozo, amedai tathmini ya kina ilifanyika kabla ya kuja na tozo hizo...
Poleni kwa tozo,
Mwenye akili timamu kabisa hawezi fikiri KUWA Mama kaanzisha Tozo kupitia waziri wa fedha Ili kuwaudhi watanzania Ili waje wamchague tena MWAKA 2025.
Pia kwamba Mwigulu nchemba...
Jumapili njema wapendwa
Kuna maswali kadhaa ambayo huwa najiuliza hasa nikimkumbuka hayati Magufuli.
Hivi Ile vita ya uchumi bado tunapigana au iliishia na magufuli?
Hivi ule uchumi wa kati...
TUME YA KUCHUNGUZA MAUAJI YAKAMILISHA KAZI YAKABIDHI MAJIBU SERIKALINI
Tume iliyoundwa kuchunguza ongezeko la mauaji Nchini na kutoa mapendekezo imekamilisha kazi na imewasilisha majibu...
Mh Rais wa Kenya S. Ruto, wakati wa kuapishwa kwake amezungumza maneno mazito sana kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Mh Ruto, Rais wa Kenya, wakati akimkaribisha...
Duru zinatabanaisha huenda Rais Samia akafanya mabadiriko kwenye baraza la mawaziri hivi karibuni huku ikitarajiwa Dkt. Kalemani kurejeshwa kwenye baraza tarajiwa na atapewa ahudumu wizara ya...
Habari ya karibuni kabisa ni Serikali kuchukua mkopo toka South Korea kiasi cha dola bilioni moja.
Kuchukua mkopo kwa nchi siyo jambo baya na wala siyo jambo la ajabu. Tatizo lipo kwenye...
Jamaa atatumbuliwa hilo liko wazi kama uchi wa mbuzi lakini atakua katolewa kafara ili wakubwa wake wapate sifa. Siasa achana nayo yote yaliyotokea walishauriana na kuafikiana ila mzigo wa lawama...
Arusha. Mwanasiasa mkongwe nchini Christopher Mtikila ameshinda kesi aliyofungua Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika (AfCHPR) mjini Arusha akidai Tanzania inakiuka demokrasia inapozuia wagombea...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na jitihada za kuzuia uhalifu na kufanya misako mikali ya kuwafuatilia wahalifu mbalimbali wa makosa ya jinai. Tarehe 12 Septemba 2022 majira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.