Spika Tulia ameiagiza serikali kuleta taarifa bungeni iwapo malalamiko yaliyotolewa na wabunge kwamba Tembo wanauwa watu katika maeneo mbalimbali nchini yana ukweli wowote.
Spika Tulia amemwomba...
Wazalendo wote popote mlipo!nitumieni ujumbe huu kwa ndugu yetu Tundu lisu,Taifa lako linahitaji uchapakazi wako na taaluma YAKO ya sheria, sahau yote na urudi NYUMBANI ufanye kazi ya kulijenga...
Dj walete na song letu la Iyena iyena.
Kwa Mara ya kwanza namuona Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akichangia hoja ya marekebisho ya muswada wa sheria ya Dawa za kulevya na ametaka sheria Kali...
Kama bahati vile, simu yangu niliyoiagiza kutoka China kupitia online market ikaja na kizazi cha tano (5G) inakwenda kuanza matumizi yake rasmi. Simu hii inasupport kasi ya 5G tu.
Vodacom imekuwa...
Sifa kubwa ya kiongozi ni kujiamini.
Na hawa wa wili ni viongozi ambao mimi kwangu na amini ndo viongozi bora.
JPM: Huyu ni alikuwa kiongozi sijui ni seme ni wa aina gani hasa Ila sifa kubwa...
Neno 'Dikteta' linatumiwa vibaya Afrika. Mara nyingi katika Afrika dikteta ni kiongozi asiyetaka mchezo, mwenye nidhamu na anayeipenda nchi yake mno, kiasi kwamba wakati mwingine atauwa ili...
Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - KAZI IENDELEE
Ni ukweli usiopingika kuwa Salamu hii imebeba maana na uhalisia wa kazi Iendelee kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na Serikali chini...
Sabaya kwa Sasa ni mwanasiasa mwenye mvuto kuliko wote Tanzania ni kwa sababu CCM wamemtengeneza kimkakati
Utawala uliopo uko tayari kabisa kumkuza Sabaya na kumpa nguvu zote kuliko Upinzani...
Hii ni kutoka katika maktaba ya mjadala na michango ya wajumbe mbalimbali wa bunge la kupata katiba mpya mwaka 2012/2013 huko Dodoma. Bahati mbaya CCM walivuruga mchakato huo na hivyo kukwama na...
Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri.
Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11...
Wana bodi siku ya jana kulizuka mjadala mkubwa wa kitaifa humu ndani kuhusiana na kauli nzito ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba ya kuwaita wabunge wajumbe wa Kamati ya Nishati ni wapuuzi kwa...
Hii ndio orodha ya mawaziri wanaofanya vizuri zaidi katika uongozi wa Rais Samia.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, kwangu mimi hawa ndio mawaziri wanaofanya vizuri kama awamu ya sita...
Robert Mutabingwa - Kawe
Tar 8 Jan ,2022. Rais Samia alipombadilisha wizara Mchengerwa kutoka Utumishi kuja Michezo (Wizara anayo hudumu kwa sasa); zaidi ya 85% ya watumishi wa umma ni wapenda...
Ni ukweli usiopingika kwamba tatizo la mfumko wa bei limekua ni sugu kiasi kwamba linakoelekea litawashinda viongozi.
Pengine kuna njia ambazo zimefichika ambazo wakizigusa zinaweza kusaidia...
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amefika nyumbani kwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Laurence Wilkes , kuhani Msiba wa Malkia Elizabeth wa pili na kusaini Kitabu cha Maombolezo.
Mwamba...
Huyu kijana sabaya ndo atakaye angusha ufalme wa ccm Tanzania na siku hiyo mambo hayatokuwa raisi kama mnavyo fikiria
Kutuwa vurugo ndani ya INCHi
Maandamano kati ya serekali na raia wake
Uku...
Licha ya kuwa na vivutio vingi vya utalii na fukwe bora kabisa Duniani, bado sekta ya utalii haikuweza kufikia viwango vinavyotakiwa kwa kukosa Branding ya kutosha. Kuanzia Mwezi January hadi...
Wanajamvi, nimependa namna Mwandishi wa mwanahalisi alivyochambua hoja, ebu tupitie Kwa pamoja link hiyo tulijue kosa la Dkt Mwigulu Nchemba
--
KWA wanaofahamu jinsi serikali inavyofanya kazi...
Imefika wakati serikali/bunge ikaweka sheria kuhusu matumizi na manunuzi ya magari. Magari ya serikali yawe chini ya ya cc 3000. Exceptions iwe kwa idara za usalama lakini siyo V8. Jirani zetu...
Leo imetoka taarifa juu ya Mahakama Kuu kubatilisha hukumu iliyotolewa dhidi ya mtu aliyekutwa na hatia ya kufanya vitendo vya uchawi dhidi ya mtoto wa ndugu yake huko Njombe!
Hukumu hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.