Bila shaka nadhani kesho mama Samia aende na mzee Hafidhi katika sherehe za kuapishwa Rutto. Siti mbili zaidi kwenye ndege sio mzigo mkubwa Sana kwa taifa. Sio kwa sababu binafsi ila ni sababu za...
1 Wafalme 12: 1-19
Wakati wa utawala wa Mfalme Rehoboam inakadiriwa ni miaka 700-900 KK, alipakwa mafuta baada ya kifo cha Mfalme Suleiman Babaye, huyu mwamba aliwakamua sana Kodi Waisrael ili...
Julai 27, 2021, kesi ya unyang’anyi iliyomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya iliendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Arusha na shahidi wa tano wa Jamhuri...
Wanabodi,
Jamani, Jamani, jamani, tupieni jicho maelezo yaliyopo kwenye katiba yetu (ibara ya 99 na 138) kufahamu utaratibu ambao unatakiwa kufuatwa kabla ya kutoza ushuru wowote, kodi au tozo.
Rais Uhuru Kenyatta atakuwa akipokea angalau Tsh. Milioni 668.5 kama sehemu ya malipo yake ya kustaafu baada ya kukaa madarakani kwa miaka 10.
Kulingana na marupurupu yaliyoainishwa katika Sheria...
Wakuu kama kichwa kinavyosema, naomba kujua je, wakati wa Nyerere ie. 1961-1985 kulikuwa na uchaguzi ngazi ya Rais? Kama ilikuwepo je, Nyerere aligombea dhidi ya nani?
Nawasalimu katika jina la...
Wanabodi,
Kufuatia kazi nzuri inayofanywa na rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kuna baadhi ya watu wanamkubali sana hadi kufikia kiwango cha kama kumuabudu fulani!, na humu JF, nimenote...
Nimepanda treni ya Kigoma - Dar mwaka 2021, na nilijisemea sitakuja kupanda tena kwa namna treni hii ilivyo na huduma mbovu na za aibu.
Ninatumia usafiri wa ndege Air Tanzania mara kwa mara kwa...
Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums
Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
Rais wa sasa wa Jamuhuri ya...
Kesi namba 2 ya mwaka 2022 ya uhujumu uchumi inayomkali Lengai Ole Sabaya imetajwa tena leo katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi mbele ya hakimu mfawidhi Salome Mshasha ambapo hoja mbalimbali...
Naomba fikra zenu Wana JF!
Kwanza poleni kwa msiba mzito wa mtawala wetu wa kihistoria wa Tanganyika! Tuendelee kuomboleza!
Somo pendwa la historia kule shuleni, linatufundisha kuwa Watanzania...
Katika Mambo ya Kihuni kuwahi kuyashuhudia ni hili la Leo la Aliyekua Mbunge wa CHADEMA, Joseph Mbilinyi au Sugu. Ana Siasa Chafu sana nawapongeza Polisi wanatumia weledi sana na hatimaye...
Majuzi niliona taarifa kuwa wenzake Sabaya waachiwa huru baada kukiri makosa na kuelewana na DPP kulipa Tsh 1,050,000/= na hivo kutolewa hatiani!
Usishangae! Sio kama Sabaya hapendi kuwa huru...
Waafrika angalieni waziri wa fedha wa nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani anavyosafiri akiwa nchini mwake.
Mkumbuke huyu ndiye namba mbili nchini mwake kuidhinisha mabilioni ya dola za...
Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi.
-
Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha...
Siku hizi imegeuka tabia. Mimi nasema ni tabia isiyo na afya ya serikali kutoa taarifa kwa umma usiku wa manane. Hili ni jambo la kushangaza sana, najiuliza ni kitu gani kimeisibu serikali...
Nakubaliana na Kigwangalla kwenye hili. Tatizo letu kubwa kwenye mradi huu ni wizi wa viongozi wa mradi.
Je wanaibaje? Viongozi wanaojinufaisha na mradi huu hawataki kata kata utumiaji wa kadi za...
Hii ndio taarifa ya dharula iliyosambazwa kwa Wananchi wote na chama chake , kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Mh. Tundu Lissu, Mgombea Urais wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2020, ambaye hotuba...
Muda mfupi baada ya hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi Moshi, Salome Mshasha kuahirisha kesi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na ndugu zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.