Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nmeweka Makala ya Mwisho ya kaka yangu mpendwa Mohamed Mtoi hapa Jamii Forum kama kumbukumbu pale alipoongea na wanachama wa Chadema wanafunzi wa chuo kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati fulani mwaka 2018, aliyekuwa rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akizungumza katika kongamano la kujadili hali ya siasa na uchumi alisema "SERIKALI YAKE HAINA MPANGO WA KUANZISHA...
4 Reactions
54 Replies
2K Views
Huyu ametokea Mkoa wa Morogoro , Mkoa ambao kwa miaka mingi umeongoza kwa unyama dhidi ya viongozi wa Chadema , Matei hata kabla ya uchunguzi alijiropokea mbele ya waandishi wa habari kwamba...
12 Reactions
55 Replies
8K Views
Mfungwa wa Kisiasa aliyeishinda Serikali ya Tanzania Mahakamani , baada ya kupangua mashitaka ya uongo yaliyotungwa na RPC wa Mbeya Ulrich Matei na washirika wake ya kusafirisha na kusambaza...
22 Reactions
104 Replies
9K Views
Leo Trump anachunguzwa na Serikali ya Marekani kwa wizi wa siri nzito za serikali. Siri hizo Trump anazifahamu kwa vile alihusika nazo, lakini kitendo cha kuziiba(kwa maana ya kuondoka na nyaraka...
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Waziri Masauni: Tendo la ndoa sio haki ya msingi kwa Wafungwa Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Yussuf Masauni amesema mchakato wa haki ya faragha kwa wafungwa kukutana na wenza wao utaanza kutolewa...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimefuatilia kwa ukaribu leo mahojiano ya ana kwa ana ya vijana wengi wa Nchini Kenya, kuhusu matarajio yao dhidi ya Rais William Ruto. Katika mahojiano yao wengi kwa idadi wamekwenda uwanjani kwa...
1 Reactions
0 Replies
547 Views
Wadau hamjamboni nyote? Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola Hebu someni wenyewe...
13 Reactions
209 Replies
19K Views
Wapendwa Ndugu zangu wa JF salaam... Baada ya salamu naomba niombe radhi kwa kutoleta Mrejesho wa yule RTO anayehujumu Mapato ya Serikali, hili ni kutokana na kuwa Nje ya Mkoa wa Dodoma na kupata...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Ingelikuwa siyo Katiba Bora, Rutto urais angeliusikia kwenye radio na TV maana kwa Katiba ya Akina Moi , Kibaki, etc, Uhuru angelipanga Safu ya kuiba kura kwa niaba ya Raila na Safu hiyo...
0 Reactions
0 Replies
386 Views
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ataungana na Marais 17, Mawaziri Wakuu, Manaibu wa Rais 8 na Mawaziri 7 wa Mambo ya Nje waliothibitisha kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule William Ruto...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Viongozi wetu hawana nia ya kulipa kodi kama inavyostahili. Ili kukwepa kulipa stahiki yao kamili ya kodi, sehemu kubwa zaidi ya mapato yao wameiita "posho." Kwenye orodha ya wakwepa kodi hao...
1 Reactions
6 Replies
830 Views
Katika kitu kinachonishangaza ni kuwa tuna vyanzo vingi vya mapato lakini ukiangalia bado maelezo ya matumizi yake tunajibiwa kirahisi mno. Ningependa kujua ni kiasi gani tunachokipata kwenye hivi...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mungu mkubwa na ni fundi sana,umepewa cheo kikubwa cha uwaziri wa fedha,ambao ki ukweli imetusaidia kukuelewa, wewe ni kiongozi wa aina gani. Ni Kiongozi wa hovyo na mwiba kwetu sisi Watanzania...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Chama cha Rais mteule Nchini Kenya Dkt. William Ruto cha United Democratic Alliance, - #UDA kimeahidi kufuata Mfumo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kuliongoza Taifa la #Kenya, Mwenyekiti wa...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Musoma, Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba apigwa maswali mazito na wananchi mkoani Mara Wakaazi wa Sirari Rorya wasema wanamtambua vizuri hata mawe na majabali ya (mawe) kote nchini yaandikwa...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Huyu anayejiita Dkt wa uchumi hivi haya anayo yafanya ni kweli Anayafanya kwa manufaa ya taifa ? Au na yeye pia jicho lake liko kwenye mwaka wa 2025. Make ukichunguza utaona Kama vile...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Imeelezwa kuwa ongezeko la Wanyamapori Nchini limekuwa chachu ya kuwa na ongezeko la ushawishi wa ujangiri, uvamizi wa maeneo ya Wananchi ambapo humesababisha uhasama kati ya mamlaka za Serikali...
2 Reactions
61 Replies
5K Views
- Habari za muda huu wana jamii wenzangu, natumai ni njema. - Nilikuwa na dukuduku kuhusu uwepo wa taifa letu la Tanzania Jumuiya ya Madola, dukuduku langu limezaa maswali kadhaa yenye kuhitaji...
10 Reactions
112 Replies
7K Views
Bila shaka nadhani kesho mama Samia aende na mzee Hafidhi katika sherehe za kuapishwa Rutto. Siti mbili zaidi kwenye ndege sio mzigo mkubwa Sana kwa taifa. Sio kwa sababu binafsi ila ni sababu za...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom