Kumbusho Dawson Kagine
Member
- Apr 25, 2013
- 19
- 29
1. Machi 9 , 2018 Rais Magufuli alifungua tawi la CRDB, chato Kijiji cha Kilimani alipozaliwa
2. Mwezi June 2016 Serikali ilianza rasmi kujenga uwanja wa ndege ambao hivi karibuni waziri Kigwangala amesema Rais Magufuli ameafiki uwe uwanja wa Kimataifa, hivyo utaitwa uwanja wa kimataifa wa CHATO.
3. June 2 mwaka huu, serikali ilipandisha hadhi Pori la akiba la Burigi kuwa hifadhi ya taifa ya Burugi.
4. Mwaka jana 2018 uwekaji wa taa za kuongoza magari ulikamilika huko CHATO. Na siku hivi karibuni Serikali imesema itajenga uwanja mkubwa wa mpira wilaya CHATO ili kukuza vipaji
Nasema hiviiiiiii Kwa hakika CHATO Itabaki mawinguni..... 😂😂😂😂