Tanzania haimo kwenye Main List ya walioalikwa Kenya Uapisho wa Ruto

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,409
8,911
Hii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka Rais wetu Mstaafu kusimamia uchaguzi.

Yaani nimesoma gazetini wageni waliolikwa na Ruto naona Museveni, Nigeria, Ghana, AK, Ethiopia, Misri mpaka Qatar na Uingereza, China, India mpaka Russia lakini nimetafuta jina la Tanzania yetu bila ya mafanikio.

Jamani tunakosea wapi? Dunia nzima imetajwa, sisi hola, …

 
Hii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka raisi wetu Mstaafu Kikwete kusimamia uchaguzi, yaani nimesoma Gazetini wageni waliolikwa na Ruto naona Museveni, Nigeria, Ghana, AK, Ethiopia, Misri mpaka Qatar na Uingereza, China, India mpaka Russia lkn nimetafuta Jina la Tanzania yetu bila ya mafanikio, jamani tunakosea wapi? Dunia nzima imetajwa, sisi hola, uwiii

Ukapimwe mkojo braza
 
Back
Top Bottom