Kuna wakati unakuja mtasema "kizuri hakidumu"

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,691
149,915
Kwangu mimi sioni hicho kizuri ila kwa wengi wenu mtakuja kusema: "kweli kizuri hakidumu".

Wengi wenu mtakuwa mmesahau kuwa waliingilia kazi ya mungu na kujipa mamlaka ya kuamua fulani ni mgonjwa na huyu wetu ni ngangari kumbe walimudhi muumba bila kujijua alafu nyie mtakuja kudai eti kizuri hakidumu kumbe wao ndio walikosea na hawakuwahi hata kutubu.

Nilishawahi kuandika habari hii siku za nyuma(mwaka jana) na leo nimeirudia baada ya tukio fulani kuripotiwa hapa mtandaoni.

Kwa mungu sisi wote ni sawa.

Jioni njema.
 
Kama aishivyo nyerere na Magufuli ataendelea kuishi kwa miaka mingi kwa kazi mzuri aliyo ifanya. Like Nyerere, JPM is Living Legend, Legend never die.
Huwezi ukaridhisha kila mtu na hata Hitler is a living legend among Germanies!JPM amefanya yake mazuri na mbaya na samia atafanya hivyo hivyo huku generation zikiondoka na zingine zikiingia.
 
mkuu tunasubiria utabiri wako kwa bi kidude
In fact, sio utabiri, bali ni kanuni tu za maisha(Ulimwengu) ndio zina-apply kila siku katika maisha yetu. Kwasababu sisi wanadamu, kwa viburi vyetu,hatutaki kujifunza, hivyo tutaendelea tu kukiona cha mtema kuni.
 
In fact, sio utabiri, bali ni kanuni tu za maisha(Ulimwengu) ndio zina-apply kila siku katika maisha yetu. Kwasababu wanadamu, kwa viburi vyetu,hatutaki kujifunza, hivyo tutaendelea tu kukiona cha mtema kuni.
kwa hiyo bi kidude nae atapata cha mtema kuni soon?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom