MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,478
- 20,390
Mbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake.
Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu.
Mpinzani akishinda uchaguzi huu Kenya nadhani itakuwa ni wakati muafaka wa Mbowe kumpa uenyekiti ndugu Godless Lema naye ajaribu kutupeleka Ikulu.
Natanguliza shukrani.