Hili ni kundi la wanafiki.1. Kabudi Profesa
2. Mpina Joelson
3. Lukuvi William.
4. Polepole Humphrey
5. Kalemani
6. Nchemba Mwigulu
Wengine pepo inawaita
Mwigulu naona umekuja kwa id mpya.1. Kabudi Profesa
2. Mpina Joelson
3. Lukuvi William
4. Polepole Humphrey
5. Kalemani
6. Nchemba Mwigulu
Wengine pepo inawaita.
Hongera kwa kuyakumbuka hayaHili ni kundi la wanafiki.
1. Alifikia kumwita mwanadamu mwenzake eti ni Mungu. Kwa vile tu alimpa ulaji.
2. Alitajwa wazi labisa na marehemu kuwa ni kichaa. Na kweli alithibitisha uk8chaa wake alipofikia kupima samaki waliopikwa kwa rula.
3. Hata marehemu alimtahadharisha asiufikirie Urais, lakini huyu ana uafadhali.
4. Mnafiki mkubwa. Kabla ya kusogezwa kwenye ulaji alikuwa mkosoaji mkubwa wa CCM, na kutamka wazi kuwa CCM kwenye uchaguzo wa haki haiwezi. Akasema kuwa wakuu wa wilaya hawqna kazi,nafasi zao zifitwe. Akateuliwa yeye kuwa mkuu wa Wilaya, akawa kimya. Alivyopewa ulaji akageuka. Mwishowe akawa afisa manunuzi wa viongozi maslahi wa upinzani. Mtu mnafiki, mwongo na kigeugeu kama huyu hafai kuwa kiongozi wa ngazi yoyote. Hata alipo sasa, hastahili.
5. Kiongozi maslahi. Alipokuwa wizara ya madini, alitumia nafasi yake kuwapa vitalu ndugu zake, na alipokuwa waziri wa nishati, akatumia nafasi hiyo kuwapelekea umeme hao ndugu zake kwa gharama za serikali.
Kwenye list yako, no presidential material..
Mkuu umeandika ukiwa na akili zako timamu au akili ya bandia?1. Kabudi Profesa
2. Mpina Joelson
3. Lukuvi William
4. Polepole Humphrey
5. Kalemani
6. Nchemba Mwigulu
Wengine pepo inawaita.
Hiyo namba 6 mboba hujasema chochote au kwa vile ni wewe mwenyeweHili ni kundi la wanafiki.
1. Alifikia kumwita mwanadamu mwenzake eti ni Mungu. Kwa vile tu alimpa ulaji.
2. Alitajwa wazi labisa na marehemu kuwa ni kichaa. Na kweli alithibitisha uk8chaa wake alipofikia kupima samaki waliopikwa kwa rula.
3. Hata marehemu alimtahadharisha asiufikirie Urais, lakini huyu ana uafadhali.
4. Mnafiki mkubwa. Kabla ya kusogezwa kwenye ulaji alikuwa mkosoaji mkubwa wa CCM, na kutamka wazi kuwa CCM kwenye uchaguzo wa haki haiwezi. Akasema kuwa wakuu wa wilaya hawqna kazi,nafasi zao zifitwe. Akateuliwa yeye kuwa mkuu wa Wilaya, akawa kimya. Alivyopewa ulaji akageuka. Mwishowe akawa afisa manunuzi wa viongozi maslahi wa upinzani. Mtu mnafiki, mwongo na kigeugeu kama huyu hafai kuwa kiongozi wa ngazi yoyote. Hata alipo sasa, hastahili.
5. Kiongozi maslahi. Alipokuwa wizara ya madini, alitumia nafasi yake kuwapa vitalu ndugu zake, na alipokuwa waziri wa nishati, akatumia nafasi hiyo kuwapelekea umeme hao ndugu zake kwa gharama za serikali.
Kwenye list yako, no presidential material..
ila hii nchi ina watu wapenda sifa na kutaka ulaji wa kupitiliza.
Kwa hisani ya Mpinaila hii nchi ina watu wapenda sifa na kutaka ulaji wa kupitiliza.
samaki kwenye sahani walipimwa[emoji23]
Hatuna vipaumbele zaidi ya uongozi?1. Kabudi Profesa
2. Mpina Joelson
3. Lukuvi William
4. Polepole Humphrey
5. Kalemani
6. Nchemba Mwigulu
Wengine pepo inawaita.
Duuh moreke wareaMwigulu naona umekuja kwa id mpya.
Wewe ukithubutu kuchukua fomu ccm ndio kwisha kabisa. Wewe ndio kwasasa unachukiwa kuliko kiumbe mwingine ccm.
No. 6 umemsahau. Last but not least...Hili ni kundi la wanafiki.
1. Alifikia kumwita mwanadamu mwenzake eti ni Mungu. Kwa vile tu alimpa ulaji.
2. Alitajwa wazi labisa na marehemu kuwa ni kichaa. Na kweli alithibitisha uk8chaa wake alipofikia kupima samaki waliopikwa kwa rula.
3. Hata marehemu alimtahadharisha asiufikirie Urais, lakini huyu ana uafadhali.
4. Mnafiki mkubwa. Kabla ya kusogezwa kwenye ulaji alikuwa mkosoaji mkubwa wa CCM, na kutamka wazi kuwa CCM kwenye uchaguzo wa haki haiwezi. Akasema kuwa wakuu wa wilaya hawqna kazi,nafasi zao zifitwe. Akateuliwa yeye kuwa mkuu wa Wilaya, akawa kimya. Alivyopewa ulaji akageuka. Mwishowe akawa afisa manunuzi wa viongozi maslahi wa upinzani. Mtu mnafiki, mwongo na kigeugeu kama huyu hafai kuwa kiongozi wa ngazi yoyote. Hata alipo sasa, hastahili.
5. Kiongozi maslahi. Alipokuwa wizara ya madini, alitumia nafasi yake kuwapa vitalu ndugu zake, na alipokuwa waziri wa nishati, akatumia nafasi hiyo kuwapelekea umeme hao ndugu zake kwa gharama za serikali.
Kwenye list yako, no presidential material..
Acha zako soon nakuja ngoja mtu aminywe kende kwanzaWe phalla nimekusoma🤣🤣🤣
Njoo kule basi?
Unakusudia wakristo kindakindaki watakaoweza kuzuia Tishio la kanisa Katoliki kupenyea kupitia upinzani? Kama Ambavyo ilitaka kutokea 2010? Ni wazi hukuwepo duniani, hivi hukuwaona wale wanaharakati kina Isa kundecha, Ilunga na hata BAKWATA Walivyoeneza udini? Usithubutu kufikiri kama unavyofikiri, kwanza wote hao ni wateule wa Rais na Rais ndio Mwenyekiti wa Chama, na miongoni mwao wamo kwenye kazi maalum stop this rubbish1. Kabudi Profesa
2. Mpina Joelson
3. Lukuvi William
4. Polepole Humphrey
5. Kalemani
6. Nchemba Mwigulu
Wengine pepo inawaita.