Maneno aliyoyasema Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM kwenye Sherehe za Kuapishwa William Ruto yanafikirisha sana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,362
Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa ccm , Samia Suluhu Hassan ni miongoni wa viongozi kadhaa walioalikwa kutokea Tanzania na Africa ili kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mpya wa Kenya Dr William Ruto , Alikuwemo pia Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe .

Kilichofanya niandike jambo hili ni maneno Machache aliyoyasema Rais wa Tanzania Akiwaambia raia na viongozi wa Kenya , Mh Samia Suluhu amesema hivi , Naomba kunukuu , "KAMA KUNA ZAWADI MLIYOITOA KWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI MWAKA HUU NI ZAWADI YA AMANI MLIYOIWEKA KATIKA UCHAGUZI" Mwisho wa kunukuu .

Chanzo : Swahili Times

Sasa hebu Toeni maoni yenu kwenye hili , huku mkirejea mambo yaliyojili kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania wa 2020 , ambao Samia Suluhu alikuwa Mgombea Mwenza .

NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO
 
Asibugi kuwaamini hao kina njoroge
Ni mabingwa wa drama
 
Mhe kasema.kwa nia njema kabsa. Naamini hata Mhe Raisi wetu hapendi kuvurugika kwa amani yetu
 
..Watanzania tunatamani MAUAJI wakati wa chaguzi zetu yakome.

..Tuwaige Wakenya kwa kuendesha uchaguzi wa haki na wenye uwazi ktk hatua zote.
Mkuu naikubali demokrasia ya Kenya but kwa mauaji nao wako kama Tz tu.
Katika uchaguzi huu wameuana kimya kimya sema hayajapewa airtime sababu kwao ni kawaida.
Rejea afisa uchaguzi aliyetekwa na kupelekwa karibu na Mt Kilimanjaro ndipo walpompotezea..
Mauaji yaliiuwa mengi tu
 
Back
Top Bottom