Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimepenyezewa muda huu kwamba Tundu Lissu atatangaza Operesheni ya kuibua Ufisadi kwenye Halmashauri zote nchini. Hivyo Wakurugenzi ambao ndio Wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu wanaambiwa "Kaa Chonjo...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Taarifa ikufikie kwamba Maandalizi ya Mapokezi kabambe ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yamekamilika, ambako wanachama wa CHADEMA na wapiga kura wake waliomchagua kwa kishindo 2020...
30 Reactions
93 Replies
7K Views
Tindu Antipas Lissu ni mwanasiasa mzuri katika siasa za tanzania shida kubwa iliyopo mbele kesho temeke mkutano mzima utakuwa kumtukana Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, taarifa hizo tunazo. Mimi...
5 Reactions
14 Replies
956 Views
Lowassa akiwa CCM Kabla ya Kuhamia CHADEMA 1.Nashangaa wanachoma moto vibaka wanamuacha Lowassa anatanua Mitaani-Freeman Mbowe 2.Nina Ushahidi wa kutosha kuhusiana na wizi na ufisadi wa Lowassa...
5 Reactions
23 Replies
5K Views
Makazi na mashamba tunatoa umilki kwake, ila kwake sisI hatutakiwi kugusa! Umeme unashusha bei mpaka kiwango cha maumivu kwa watoto wetu' lakini aah wapi! Tukasema hiyo isiwe noma! Basi...
2 Reactions
3 Replies
572 Views
Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo...
26 Reactions
412 Replies
19K Views
Uteuzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli utatangazwa leo Agosti 13, 2018 kuanzia saa 5:00 asubuhi kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam. Fuatilia TBC1...
13 Reactions
293 Replies
115K Views
Hakika dunia na maisha vinakwenda kasi sana. Naamini hii picha itakuwa ni funzo kubwa sana kwa Askari wetu na wana siasa wa upinzani hapa nchini. Kwa miaka 7 hii kitu haikuonekana ktk mazingira...
56 Reactions
155 Replies
8K Views
Ndugu zangu Watanzania Baada ya kufunguliwa na kuruhusiwa kwa mikutano ya vyama vya siasa hapa nchini tulishuhudia mbwembwe na vitisho vya hapa na pale kutoka kwa viongozi na wanachama wa chadema...
3 Reactions
65 Replies
2K Views
Kwema Wakuu! Serikali inapaswa iirejeshe Ada kwa wanafunzi wanaosoma shule, nchi yetu bado hatujafikia nyakati za kutoa vitu bure, Shule ya Msingi ndio iwe Bure lakini sekondari, wanafunzi...
13 Reactions
88 Replies
5K Views
Hiki chama aisee ni cha kipekee. Tangu hapo zamani kikifanya mikutano na shughuli zingine za mikusanyiko huwa wanatoma kwa amani na furaha tele kwa wananchi. Mikutano yao isipoingiliwa na dola...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Waziri wa Nishati January Makamba amewapa Wakandarasi miezi miwili kujipima kama wanatosha Kabla hajawachukulia hatua kali. Makamba amesema kimsingi Serikali hairidhishwi na kasi ya Usambazaji...
1 Reactions
1 Replies
524 Views
Habari kutoka huku Mkoani Shinyanga, halmashauri ya Ushetu, ni kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Iramba- Singida, anashikiliwa na Polisi. Mkurugenzi Mtendaji huyo Michael Matomola...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Dhana ya Mkataba wa Utafutaji wa mafuta na Ugawanaji Mapato –wazo la nchi la utafutaji wa mafuta na gesi na mgawanyo wa mapato na makampuni kama sehemu ya biashara- lilianzishwa kwenye miaka ya...
1 Reactions
0 Replies
862 Views
Akihojiwa na Kipindi cha Hard Talk cha Tanzania , Bwana Steve Nyerere amedai kwamba , Watanzania hawakumuelewa mama aliposema , Wapinzani wakimshambulia chawa wake Watajibu. Amedai kwamba hapo...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
NI UPI MSIMAMO WA SERIKALI JUU YA USHOGA? SENSA WANAUME 30,053,130 Je, mashoga ni wangapi? Je, yapi Masharti Nafuu ya mikopo? Kupitisha/kuruhusu ushoga si sharti moja wapo? *Uzazi wa mpango...
4 Reactions
12 Replies
757 Views
Masoud Kipanya na James Gayo hiyo sio poa kabisa naona mnapenda kutukosea sana kwamba sisi ni wengi ila kuchukua nchi tuna nafasi finyu sana au sie tupo wengi ila walamba asali ni wengi sana...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu, MoHA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wa nchi za Uingereza, India, Palestina pamoja na Mwakilishi Mkazi wa...
1 Reactions
0 Replies
669 Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza kusikitishwa na baadhi ya wanachama wa chama hicho kumfikiria kuwa anasaliti Watanzania kwa kufanya maridhiano ya kisiasa na CCM. Akizungumza na...
2 Reactions
7 Replies
902 Views
Katika hotuba yake jana Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA Mh John Heche amesema polisi wameona madhara ya kutokuwepo wabunge wa Upinzani bungeni. Kwa maana hiyo polisi wamempa mh Heche hoja zao...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom