Mapokezi ya Tundu Lissu yapamba moto, apangiwa kuhutubia taifa jukwaani siku hiyo hiyo Temeke

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,425
Taarifa ikufikie kwamba Maandalizi ya Mapokezi kabambe ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yamekamilika, ambako wanachama wa CHADEMA na wapiga kura wake waliomchagua kwa kishindo 2020 kabla ya Sarakasi za Dr. Mahera, wametakiwa kujipanga kuanzia uwanja wa ndege hadi Temeke.

Habari zaidi kutoka kwenye Kamati ya Mapokezi zinasema kwamba, baada ya kuwasili, Tundu Lissu ataenda moja kwa moja kwenye Mkutano wa Hadhara ulioandaliwa na chama chake Viwanja vya Bulyaga -Temeke, mkoani DSM, ambako anatarajiwa kuhutubia taifa.

Binafsi nimesikia gari la matangazo likipita mitaani kwetu huku Tandika Mwembeyanga likihamasisha Wananchi kumpokea Shujaa wao.

Usiondoke JF kwa taarifa zaidi.

FB_IMG_1674056343768.jpg
 
Taarifa ikufikie kwamba Maandalizi ya Mapokezi kabambe ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu yamekamilika , ambako wanachama wa Chadema na wapiga kura wake waliomchagua kwa kishindo 2020 kabla ya Sarakasi za Dr Mahera , Wametakiwa kujipanga kuanzia Uwanja wa ndege hadi Temeke .

Habari zaidi kutoka kwenye Kamati ya Mapokezi zinasema kwamba , baada ya kuwasili , Tundu Lissu ataenda moja kwa moja kwenye Mkutano wa Hadhara ulioandaliwa na Chama chake VIWANJA VYA BULYAGA -TEMEKE , MKOANI DSM , ambako anatarajiwa kuhutubia Taifa .

Binafsi nimesikia gari la matangazo likipita mitaani kwetu huku Tandika Mwembeyanga likihamasisha Wananchi kumpokea Shujaa wao .

Zipo Taarifa kwamba Vyombo vya Habari vya Kimataifa , BBC , ALJAZEERA , CNN na CFI vitarusha moja kwa moja Mapokezi ya Tundu Lissu .

Usiondoke Jf kwa Taarifa zaidi .

View attachment 2493397
Kwa wanao amini: Ni Miujiza ya Mwenyezi Mungu.
 
Yes , alipata zaidi ya kura mil 7.5 , jiwe alipata kura chini ya mil 4 , chache waligawana Rungwe na wenzake .

Waliojitokeza kupiga kura walikuwa mil 12 tu , Chukua hiyo !!
Hahah kama alishinda huyo mpenzi wako ni dhahiri watanzania inabidi tuwekewe sumu chanzo cha maji ili tubaki millioni kumi tu. Maana kutakuwa hakuna tofauti na maiti. Ama ubongo wako wewe una kiwango kikubwa cha kamasi kuliko uwezo wa kawaida .
 
Kama yule chiz alikuwa namba moja hata mie nipo njian kuchukua mamlaka
Hahah kama alishinda huyo mpenzi wako ni dhahiri watanzania inabidi tuwekewe sumu chanzo cha maji ili tubaki millioni kumi tu. Maana kutakuwa hakuna tofauti na maiti. Ama ubongo wako wewe una kiwango kikubwa cha kamasi kuliko uwezo wa kawaida .
 
Hahah kama alishinda huyo mpenzi wako ni dhahiri watanzania inabidi tuwekewe sumu chanzo cha maji ili tubaki millioni kumi tu. Maana kutakuwa hakuna tofauti na maiti. Ama ubongo wako wewe una kiwango kikubwa cha kamasi kuliko uwezo wa kawaida .
kama unakubali kulipwa elfu 7 , unadhani mambo kama haya utayajua ?
 
Back
Top Bottom