Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kudos Wadau.. Makamu wa Rais Dk Philip Mpango ameifananisha Kasi ya kutekelezwa Kwa miradi chini ya Rais Dk. Samia kama Fiston Mayele wa Yanga. Dk.Mpando alikuwa akizungumza wakati wa kushuhudia...
10 Reactions
47 Replies
4K Views
Ikumbukwe kwamba wakati mfumo wa vyama vingi unaingia nchini Tanzania , kutokana na shinikizo la Kimataifa mwaka 1992 , kulikuwa na matakwa ya kisheria yaliyowekwa na Serikali ya Tanzania ili...
15 Reactions
32 Replies
3K Views
Huyu mtangazaji wa Clouds anatumiwa na CCM kwa maslahi ya nani? Yuko laivu mida hii halafu anamuuliza mchungaji Msigwa "the forbidden question " Jamaa amemuuliza Msigwa eti ni lini Mbowe ataachia...
10 Reactions
56 Replies
3K Views
Yeroo! Benki ya Dunia imesema Uchumi wa Tanzania unatarajia kukua Kwa Asilimia 5.6% mwaka 2023 ikiwa ni zaidi ya ukuaji wa mwaka 2022 licha ya kwamba uchumi wa Dunia Utadorora. Utabiri huu...
11 Reactions
129 Replies
7K Views
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu imejipanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao barani Afrika, Serikali imeanza kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika...
1 Reactions
6 Replies
820 Views
Miaka ya hivi karibuni kumetoka tabia ya viongozi wa serikali mara kwa mara kutoa kauli za ovyo zisizo na staha zinazoleta ukakasi katika jamii ila kwa sababu hatuna uwajibikaji, tatizo hilo...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
1. Lissu na Lema wameendelea kulelewa na wazungu maana yake walisingizia kwamba wamekimbia sababu ya Magufuli. 2. Igizo la Corona limeisha kama alivyotabiri Magufuli 3. Ndege tulizoambiwa na...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Wananchi tunalalamika na mzigo wa kodi usio wa haki. Wanaanza kudai kodi ya pango day 1 umepangisha baada ya safari ndefu Isiyowahusu wao ya ujenzi wa nyumba...
2 Reactions
14 Replies
954 Views
Hii ndio Taarifa ya leo kutoka kwenye Mikutano ya hadhara ya CHADEMA, ambayo leo inaendelea kwenye viwanja vya Sabasaba maarufu kama Shamba la Bibi huko Tarime. Umati mkubwa wa Wananchi...
14 Reactions
45 Replies
4K Views
Kisiasa makamu Mwenyekiti mh Tundu Antipas Lisu alisharejea nyumbani tangia 2020 na akagombea uRais na kushika namba 2. Tundu Lissu alipata 13% ya kura zote na kiukweli kutukana na mazingira ya...
0 Reactions
5 Replies
561 Views
Haya ni mawazo yangu wengi wetu hatuna nakala ya katiba ya sasa. Ili tupate katiba mpya wekeni hapa katiba ya sasa tuweze kujadili mazuri, mabaya na mapendekezo. Najua topic inasema katiba mpya...
3 Reactions
11 Replies
740 Views
Tunakumbushana tu kwa sababu maneno yamekuwa mengi kufuatia Mchungaji Kimaro kupewa Likizo ya lazima na mwajiri wake ambaye ni KKKT. Hiyo ni kawaida sana kwenye ajira za Sekta binafsi Tusikuze...
17 Reactions
131 Replies
10K Views
Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe Wakati akiwa katika hafla au ufunguzi wa mikutano ya kisiasa, iliyopigwa marufuku kwa takriban miaka sita Nchini Mjini Mwanza, Tanzania. Alimaka. Wakati wa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Januari, 2023.
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Usiku huu wakati napita huku na huko mitandaoni ili kutafuta usingizi nimekutana na hii post. Kwa kweli imenishtua kidogo, hata hivyo masuala yenyewe hayajawekwa wazi sana. Niliwahi kusoma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana amepokelewa wilaya ya Mkuranga leo tarehe 24 Aprili, 2022 kwa ajili ya ziara mkoa wa Pwani ya uimarishaji uhai wa chama na...
9 Reactions
59 Replies
5K Views
Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza. Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha...
54 Reactions
704 Replies
47K Views
Wengi wanadhani Chadema walianza rasmi mikutano yao hapana, baada ya uzinduzi huo kitakachofuata ni ratiba rasmi ya mikutano na ndiyo itakayotoa huenda yote wanayoyatarajia watanzania kulingana na...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Mheshimiwa najua una majukumu mengi ya kitaifa kwa vile wewe ni Waziri, lakini angalau ungezungumza na muwakilishi Mheshimiwa Jazira, mkalipatia ufumbuzi tatizo hili. Majimbo ya Zanzibar ni...
0 Reactions
10 Replies
936 Views
Baada ya jana CHADEMA kupata aibu pale Mwanza kwa kukosa kuungwa mkono na wananchi walio wengi. Kama ilivyo kawaida yangu, asubuhi na mapema nimekimbilia Musoma ili kuona kitakachojiri. Nipo huku...
12 Reactions
48 Replies
5K Views
Back
Top Bottom