Tujikumbushe Kauli za CHADEMA Kwa Lowassa

CHADEMAASILI

Senior Member
Joined
Jan 19, 2018
Posts
122
Reaction score
92
Historia ya lissu.PNG

Lowassa akiwa CCM Kabla ya Kuhamia CHADEMA

1.Nashangaa wanachoma moto vibaka wanamuacha Lowassa anatanua Mitaani-Freeman Mbowe
2.Nina Ushahidi wa kutosha kuhusiana na wizi na ufisadi wa Lowassa na Rostam-John Mnyika
3.Ni heshima kwa Mungu kumzomea na kumtukana mtu fisadi kama Lowassa-Godbless Lema
4.Anayemuunga mkono Lowassa akapimwe akili haraka sana-Peter Msigwa
5.CCM wamempatia fisadi Lowassa fomu ya kugombea Urais, ni hatari sana-Tundu Lissu

LOWASSSA akiwa CHADEMA
1.Mimi ninayejua kiu ya Watanzania nitakuwa mwendawazimu kama eti tutaacha kumpokea Edward Lowassa , Kiongozi mwenye nafasi kubwa katika Taifa hili, Kiongozi ambaye ana wafuasi wengi katika nchi hii,-Freeman Mbowe

2. Wakati tunakwenda kwenye uchaguzi Mkuu Mwaka 2015 tulikuwa tumejipanga kwelikweli, tulitafuta Wataalam watwambie tunashindaje Uchaguzi, wakatwambia , katika 'Political Personalities' zote za Tanzania Lowassa peke yake anatembea na wapiga kura 18%-Tundu Lissu

3.Tusifike mahali Lowassa akaonekana ndiye mzaaaaaambi kuliko watu wote hapa Tanzania, hiyo hatumtendei haki-Peter Msigwa

Baada ya Lowassa Kurudi CCM

1.Tulimkaribisha na kumpatia majukumu ya kutuongoza kenye mapambano ya Mwaka 2015 na alitekeleza majukumu hayo vizuri kwa kadiri alivyoweza-Tundu Lissu

2.Kama kuna kazi ya maana Lowassa amefanyia CHADEMA ni kuhamia CCM-Peter Msigwa
3. Kuondoka kwa Lowassa kunatupa nafasi CHADEMA kutafakari uamuzi wa kuwapokea wanasiasa kutoka vyama vingine wakati wa uchaguzi-Freeman Mbowe

Tafakuri: Hapana shaka kwamba Lowassa amewafanya CHADEMA wasijiamini na kubaki kutapatapa. Siyo mara ya kwanza CHADEMA kusema hawatapokea wanaohama CCM, Kabla Lowassa hajahamia CHADEMA, Mbowe alisema na nanukuu: "Hatupokei tena Makapi kutoka CCM" leo anasema kuondoka kwa Lowassa kunawapa nafasi ya kujitafakari, huko ni kutapata kwa kiwango cha juu kabisa. Hapana ubishi kwamba CHADEMA bado walikuwa wanamhitaji Lowassa kuliko Lowassa alivyokuwa anawahitaji.

Kwa upande mwingine ujio wa Lowassa CCM hauna faida au hasara yoyote kwa CCM zaidi ya kutunza heshima yake kwa jamii. Kifupi Lowassa anaihitaji sana CCM kuliko CCM wanavyomhitaji,
 
Ufipa kulamba matapishi yao ni kawaida,, usishangae wakanza kutoa povu humu
 
MARA PAAP KARUDI TENA CDM

Haya Ni mapambano Ni lazima ukaangalie silaha za adui yako,karibu Tena kamanda lowasa...Lisu
Mpinzani wa kweli hupima upepo upoje....Mbowe
Kikubwa Ni kumuangusha mkoloni mweusi haijalishi unatumia silaha gani.....MSIGWA

R.I.P JK NYERERE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande mwingine ujio wa Lowassa CCM hauna faida au hasara yoyote kwa CCM zaidi ya kutunza heshima yake kwa jamii. Kifupi Lowassa anaihitaji sana CCM kuliko CCM wanavyomhitaji,

CCM haimhitaji Lowassa, are you sure? Wangekuwa hawamhitaji uongozi wote wa Chama Taifa wasingehangaika kumsubiri pale Lumumba...
 
Ili kubalance mizania ungeweka na za ccm kipindi akiwa ccm- cdm -ccm

Nafikir ndo mmojawapo wa kutungiwa kauli ya majizi! Siasa ndo ilivyo ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masoud Kipanya: Afadhali hatukuzichoma
Lowassa: Yaani!
masoudkipanya-20190307-0001.jpeg
 
UUMesahau kuongeza na kauliz hizi
1. CCM hakuna wodi ya wagonjwa, lowasa anasubiria kufa.
2. Mgombea wa chadema alijinyea geita
3. Mafisadi yamekimbilia upinzani yakiongozwa na fisadi mkuu
 
View attachment 1039966

Lowassa akiwa CCM Kabla ya Kuhamia CHADEMA

1.Nashangaa wanachoma moto vibaka wanamuacha Lowassa anatanua Mitaani-Freeman Mbowe
2.Nina Ushahidi wa kutosha kuhusiana na wizi na ufisadi wa Lowassa na Rostam-John Mnyika
3.Ni heshima kwa Mungu kumzomea na kumtukana mtu fisadi kama Lowassa-Godbless Lema
4.Anayemuunga mkono Lowassa akapimwe akili haraka sana-Peter Msigwa
5.CCM wamempatia fisadi Lowassa fomu ya kugombea Urais, ni hatari sana-Tundu Lissu

LOWASSSA akiwa CHADEMA
1.Mimi ninayejua kiu ya Watanzania nitakuwa mwendawazimu kama eti tutaacha kumpokea Edward Lowassa , Kiongozi mwenye nafasi kubwa katika Taifa hili, Kiongozi ambaye ana wafuasi wengi katika nchi hii,-Freeman Mbowe

2. Wakati tunakwenda kwenye uchaguzi Mkuu Mwaka 2015 tulikuwa tumejipanga kwelikweli, tulitafuta Wataalam watwambie tunashindaje Uchaguzi, wakatwambia , katika 'Political Personalities' zote za Tanzania Lowassa peke yake anatembea na wapiga kura 18%-Tundu Lissu

3.Tusifike mahali Lowassa akaonekana ndiye mzaaaaaambi kuliko watu wote hapa Tanzania, hiyo hatumtendei haki-Peter Msigwa

Baada ya Lowassa Kurudi CCM

1.Tulimkaribisha na kumpatia majukumu ya kutuongoza kenye mapambano ya Mwaka 2015 na alitekeleza majukumu hayo vizuri kwa kadiri alivyoweza-Tundu Lissu

2.Kama kuna kazi ya maana Lowassa amefanyia CHADEMA ni kuhamia CCM-Peter Msigwa
3. Kuondoka kwa Lowassa kunatupa nafasi CHADEMA kutafakari uamuzi wa kuwapokea wanasiasa kutoka vyama vingine wakati wa uchaguzi-Freeman Mbowe

Tafakuri: Hapana shaka kwamba Lowassa amewafanya CHADEMA wasijiamini na kubaki kutapatapa. Siyo mara ya kwanza CHADEMA kusema hawatapokea wanaohama CCM, Kabla Lowassa hajahamia CHADEMA, Mbowe alisema na nanukuu: "Hatupokei tena Makapi kutoka CCM" leo anasema kuondoka kwa Lowassa kunawapa nafasi ya kujitafakari, huko ni kutapata kwa kiwango cha juu kabisa. Hapana ubishi kwamba CHADEMA bado walikuwa wanamhitaji Lowassa kuliko Lowassa alivyokuwa anawahitaji.

Kwa upande mwingine ujio wa Lowassa CCM hauna faida au hasara yoyote kwa CCM zaidi ya kutunza heshima yake kwa jamii. Kifupi Lowassa anaihitaji sana CCM kuliko CCM wanavyomhitaji,
Ona hii
tapatalk_1551868294951.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom