CHADEMA imepoteza kabisa ushawishi kwa Watanzania

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,220
9,647
Ndugu zangu Watanzania

Baada ya kufunguliwa na kuruhusiwa kwa mikutano ya vyama vya siasa hapa nchini tulishuhudia mbwembwe na vitisho vya hapa na pale kutoka kwa viongozi na wanachama wa chadema kuwa Wana kwenda kutikisa na kuipa shida CCM.

lakini Cha ajabu Baada ya ufunguzi wa mikutano Yao kilichofuata ni kichekesho na fedheha kubwa Sana, maana badala ya kuwaunganisha wanachama wake wamebaki wamegawanyika na kuanza kutafutana Ni Nani mchawi na msaliti wa chama,Ni Nani Kamanda wa ukweli na Nani aliye ramba asali nyingi,Ni Nani Ni CCM B na Nani anatakiwa kumpisha fulani,Ni Nani amepanda kalewa jukwaani na Nani kazungumza masuala ya wananchi.

Tumeshuhudia Wana chadema wakilaumiana na kutiliana mashaka wao kwa wao,kwamba kwanini Mwenyekiti hajawashambulia Sana CCM ,kwanini amempongeza Mwenyekiti wa CCM,kwanini sauti yake ilikuwa hivi na vile, yaani Sasa chama kina mpasuko mkubwa huku wengi wakimsubili Lisu ili waje wasikie atatukana matusi mangapi,wao furaha Yao Ni kutaka kuona anayepanda jukwaani anaropoka matusi utafikiri kakatika mishipa ya fahamu na kuvuruga ubongo wake.

Kinachowachanganya Zaid Ni mapokeo ya watanzania kwa namna walivyo wapuuza na kuwadharau kwa Sasa,maana wanaona watanzania hawana habari nao,hawana habari na mikutano Yao,wanawakosoa na kuwapinga kila mahali,wanamtetea, kumsemea na kumpongeza Rais Samia kwa uchapa kazi wake uliotukuka na kuahidi kumuunga mkono katika kila hatua ya ujenzi wa Taifa letu.

Kwa Sasa Chadema Imepoteza ule mvuto na ushawishi iliokuwa nao kutokana na utendaji kazi wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani kufanyia kazi kero na changamoto zote zinazogusa na kuwa kikwazo katika maisha yao,wameona chadema Ni watu wasio na misimamo na vigeu geu,wameona chadema Ni njaa tupu tu na mkusanyiko wa wasaka tonge,ndio sababu ya Kuendelea kuwa na Imani na CCM na serikali yake chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Mama Samia.

CHADEMA kimebaki Ni chama kisicho na dira Wala muelekeo,hakina ajenda Wala Sera kinayoisimamia yenye kuwashawishi watanzania kuwaunga mkono,Hakina watu Wala viongozi wenye ushawishi na wenye kuteka hisia za watanzania,Hawana kiongozi au viongozi wenye uwezo wa Kuiteka mioyo ya watanzania kuweza kuwaunga mkono katika harakati zao,Hakina ngome yoyote kutoka kundi lolote katika jamii yetu,

Ni chama Cha matukio,hakina watu au viongozi wenye uwezo wa kujenga hoja zenye kuvuta hisia za watu,kila mmoja anapuyanga kivyake,Hakuna Sera za pamoja Wala ajenda za pamoja Wala mikakati ya pamoja Wala muelekeo wa pamoja ,ndio maana mwingine anatumia muda wake wote kujitetea kuwa hajalamba asali ,huku mwingine akijitetea kuwa amepoteza mabillioni chamani kana kwamba Ni Saccos au kikoba ambacho wanaangalia nani mwenye Hisa nyingi,

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
 
Acha kudanganya ,tupambane kwakujibu hoja ndicho mwenyekiti wetu wachama chamapinduzi alivyotuelekeza ,tuonyesha yale mama aliyoyafanya ili wananch waelewe ,wew hukuona ule umati jana na juzi
 
Soma hiyo chawa
20230122_201644.jpg
20230122_201642.jpg
20230122_201639.jpg
20230122_201637.jpg
20230122_173224.jpg
20230122_173221.jpg
20230122_162226.jpg
 
Acha kudanganya ,tupambane kwakujibu hoja ndicho mwenyekiti wetu wachama chamapinduzi alivyotuelekeza ,tuonyesha yale mama aliyoyafanya ili wananch waelewe ,wew hukuona ule umati jana na juzi
Aliyoyafanya mh Rais wetu mpendwa mama Samia Hata chadema wenyewe wameendelea kuyaeleza katika majukwaa Yao kwa kumsifu na kumpongeza kwa kazi kubwa aliyoifanya kuijenga nchi yetu,kwa hiyo Hakuna hoja zenye mashiko wakizungumza chadema zenye kuhitaji majibu,Kama zipo ziweke hapa nizijibu
 
Ndugu zangu Watanzania

Baada ya kufunguliwa na kuruhusiwa kwa mikutano ya vyama vya siasa hapa nchini tulishuhudia mbwembwe na vitisho vya hapa na pale kutoka kwa viongozi na wanachama wa chadema kuwa Wana kwenda kutikisa na kuipa shida CCM.

0742-676627
Hiyo namba uloweka hapo juu Ina uwezo wa kupokea pesa kiasi Gani Kwa mara moja?
 
Ndugu zangu Watanzania

Baada ya kufunguliwa na kuruhusiwa kwa mikutano ya vyama vya siasa hapa nchini tulishuhudia mbwembwe na vitisho vya hapa na pale kutoka kwa viongozi na wanachama wa chadema kuwa Wana kwenda kutikisa na kuipa shida CCM.
Chawa wa Mama mnapata taabu sana
 
Hiyo namba ukiweka hapo juu Ina uwezo wa kupokea pesa kiasi Gani Kwa mara moja?
Jibu na changia hoja,hizo hela kawachangie chadema wanaopitisha bakuli na mifuko ya kuomba michango ambayo hawajawahi kuleta mrejesho Wala hesabu zake
 
Aliyoyafanya mh Rais wetu mpendwa mama Samia Hata chadema wenyewe wameendelea kuyaeleza katika majukwaa Yao kwa kumsifu na kumpongeza kwa kazi kubwa aliyoifanya kuijenga nchi yetu,kwa hiyo Hakuna hoja zenye mashiko wakizungumza chadema zenye kuhitaji majibu,Kama zipo ziweke hapa nizijibu
Unateseka sana wewe jamaa! Yaani huna kabisa utulivu wa akili.
 
Wewe ndiyo unayeleta porojo na bla bla kila siku. Shida ni nini hasa? Kama uchawa wenyewe ndiyo huu unaoufanya wewe, basi bora ungekuwa tu kunguni.
Kipi kisicho Cha kweli nilichoandika hapa juu ya Chadema kupoteza ushawishi wake kwa watanzania? Nani mwenye Akili Timamu kwa Sasa anayeweza kuandamana kwa ajili ya Chadema?
 
Naona hasira zimekujaa baada ya kuona chama lenu kimepoteza mvuto na ushawishi kwa watanzania,tulizaa akili ndio uje Tena hapa maana watanzania wameshawapuuza kwa sasa
 
Kipi kisicho Cha kweli nilichoandika hapa juu ya Chadema kupoteza ushawishi wake kwa watanzania? Nani mwenye Akili Timamu kwa Sasa anayeweza kuandamana kwa ajili ya Chadema?
Hivi nikikuuliza mambo ya Chadema yanakuhusu nini! utajibu nini?

Wewe ni kada wa ccm, na pia chawa wa mama. Unatakiwa uwekeze nguvu zako huko. Mambo ya Chadema, waachie wenyewe! Sawa?
 
Jibu na changia hoja,hizo hela kawachangie chadema wanaopitisha bakuli na mifuko ya kuomba michango ambayo hawajawahi kuleta mrejesho Wala hesabu zake
Kwan umelazimishwa kuchangia?? Wanaochangia hawalalamiki km wewe husochangia, tulia we mwanamke mabwana tuko wengi kama wataka mume
 
Back
Top Bottom