Bak byzo I.T
JF-Expert Member
- Jun 29, 2014
- 266
- 126
NI UPI MSIMAMO WA SERIKALI JUU YA USHOGA?
SENSA WANAUME 30,053,130
Je, mashoga ni wangapi?
Je, yapi Masharti Nafuu ya mikopo?
Kupitisha/kuruhusu ushoga si sharti moja wapo?
*Uzazi wa mpango, (kwa wanawake)
*Ndoa za Jinsia moja (ilitokea zanzibar)
*Usawa wa Jinsia kuelemea kwa mwanamke.
Mf: Dawati la Jinsia kuwapa kipaumbele
wanawake
Serikali kutoa pesa nyingi kumsadia
mama na mtoto wa kike n.k
Kusaulika kwa mtoto wa kiume kumepelekea
Kukithiri kwa vitendo vya ulawiti majumbani na shule za boding kutapelekea taifa la mashoga wengi.
Ambao kwa dunia ijayo watakuwa wana nguvu sana duniani (mf: yaliyo tokea world cup qatar) taifa lilikuwa na msimamo mkali wa kupinga.
Kwa kuwa taifa letu ni tegemezi kwa mikopo na misaada basi kuna uwezakano mkubwa serikali ikawekewa masharti ya kupitisha ushoga katika misaada au mikopo.
Kwa mujibu wa sensa wanaume ni wachache kuliko wanawake ila miongoni mwao teyari si wazalishaji.
Naliona taifa ambalo wanaume watakuwa hawana uwezo wa kuzalisha kwani mashoga watakuwa wengi kuliko al-lijari
Leo kulea mtoto wa kiume ni kazi ngumu kuliko kulea mtoto wa kike.
Yani ukiona dalili mbaya tu unashtuka mzazi.
Naiomba serikali kuwa na msimamo rasmi wa kupinga ushoga kwani kutapelekea Taifa kukosa Wanaume kabisaa ambao ndio Nguvu kazi na wazalishaji.