Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumatano, Katika Jiji hili kuu la Kibiashara la Dar es Salaam leo majira ya saa 7:35 mchana anatarajiwa kutua mwanamapinduzi wa kweli Tundu Antipas Lissu ambaye...
32 Reactions
181 Replies
19K Views
Taarifa za Kiintelijensia kutoka chanzo cha kuaminika zinadokeza kwamba, kutangazwa leo Ma DC wapya lilikuwa jambo la Kimkakati ili kuwapoteza maboya watanzania na hasa wakazi wa DSM kuhusu Ujio...
11 Reactions
26 Replies
3K Views
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba, Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau...
4 Reactions
77 Replies
7K Views
Hakuna asiyejua kosa la huyu MTU. Usalama wa watoto utakuwa mdogo. Hafai Kabisa. Cha ajabu hakuna na taarifa ya hatua dhidi ya kitendo cha kumchapa mtoto vibao
1 Reactions
9 Replies
971 Views
Ukiachilia mbali suala la katiba mpya ambalo pia Rais Samia ameahidi kuanzisha mchakato upya, Dkt. Samia Suluhu Hassani baada ya kukamilisha ujenzi wa majengo 80 ya huduma za dharura (EMD), na...
0 Reactions
9 Replies
829 Views
Mkurugenzi wa jiji Dkt John Pima ni miongoni mwa viongozi 9 walioangukia mikononi mwa Gambo katika vita wasioshinda. Viongozi wengine ambao Gambo aliowatengenezea ajali na kuondolewa Arusha ni...
8 Reactions
55 Replies
7K Views
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Taarifa ya sasa iliyotolewa na Tundu Lissu mwenyewe inaonyesha kwamba Tayari Lissu yupo Uwanja wa Ndege wa Brussels kwa ajili ya kurejea nyumbani. Amesema kwa...
21 Reactions
111 Replies
8K Views
Mwamba wa Watanganyika kijana shupavu imara mwenye msimamo asiyetishwa na risasi au jiwe anarudi Leo. Himahima Wana wa nchi tujitokeze kumpokea mwamba huyu wa kipekee Mungu aliyetupa sisi kwa...
5 Reactions
5 Replies
633 Views
Tukizungumzia amani moja kwa moja tunazungumzia uhuru wa wananchi na nchi kwa ujumla tunaona Rais Samia Suluhu amerejesha amani Tundu Lissu leo amewasili nchini baada ya kuhakikishiwa ulinzi na...
2 Reactions
3 Replies
438 Views
Wakati akihojiwa na Voice of America Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA mh Tundu Lissu alisema usalama wake uko mikononi mwa Serikali na kwamba inawezekana akapewa Walinzi japo bado hajahakikishiwa...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Sifa pekee aliyonayo chawa yenye nafuu NI uwezo wake wakijificha nakukaa kimya anapotekeleza mikakati yake ya KUJITAFTIA riziki au mkate WA siku. Sifa zilizobaki zote zimekaa vibaya kisiasa...
1 Reactions
4 Replies
734 Views
Rais Magufuli leo anawaapisha wakuu wa mikoa ya Tabora na Kigoma, Ikulu jijini Dodoma. Kadhalika Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri watakula viapo vya maadili. Tukio hilo litarushwa...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
‪#‎HABARI‬ Mh. Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mama Anna Kilango ateuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Shinyanga. Kwa orodha kamili ya mikoa yote bofya hapa...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Naona Shaka kateuliwa kuwa DC Kilosa. Je, anaachia cheo cha msemaji wa CCM Taifa? Kama ndivyo, hii demotion imetokana na kitu gani? Karibuni wadau wa siasa. Au ndio kuvuta attention kuelekea...
3 Reactions
90 Replies
7K Views
Mnaofahamu tusaidieni utaratibu wa kupata kitambulisho cha NIDA na Pasipoti incase hata wageni wanaruhusiwa kupata. Kuna wageni wanafanya biashara na kuajiriwa hapa nchini awali walikuwa na...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Katika wakuu wa wilaya waliokua wabishi majeuri hawataki kuambilika ni pamoja na DC Mstaafu halmashauri ya wilaya ya Ikungi ndg Jerry Muro. Huyu kila alipoambiwa amezungukwa na mchwa waliokua...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa sababu Mbowe alikuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni kwa muda mrefu kwa kutegemea hiyo hiyo Tume anayosema siyo huru. Kama Mbowe ameangukia pua Uchaguzi uliopita, siyo kosa la Tume kwa sababu...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Huyu mwamba Dk Bashiru Ally Kakurwa unaweza kusema ndiyo mwamba wa siasa za Tanzania kwa sasa, licha ya matisho mengi ya kumtaka aombe radhi kutokana na kauli yake ya kuponda wanaosifia anaupiga...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Mimi ni kada kindakindaki wa Chama cha mapinduzi lakini ningeomba katika andiko langu nichukuliwe kama mzalendo anayependa maadili ndani ya chama na serikali ya Mama yetu mpendwa. Kama DC Muro...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Licha ya kuwa nje ya Tanzania kwa miaka mitano na ushei, ushawishi wake katika siasa za upinzani bado ungalipo. Kwa lugha nyingine ni kusema; makovu yake ya kisiasa hayajaondosha mvuto wake wa...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom