James Gayo na Masoud Kipanya tumewakosea nini sie wana CHADEMA?

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,840
Masoud Kipanya na James Gayo hiyo sio poa kabisa naona mnapenda kutukosea sana kwamba sisi ni wengi ila kuchukua nchi tuna nafasi finyu sana au sie tupo wengi ila walamba asali ni wengi sana.

Nitafungua mashtaka kwa James Gayo na Masoud Kipanya maana naona mnaendelea kutukosea sana.

FB_IMG_1674555971582.jpg

Kipanya.jpg

FB_IMG_1674555864829.jpg

FB_IMG_1674555697207.jpg
 
wachora katuni hawawezi kusaidia.

Hoja tatu zilizoko mezani zinahitaji majibu toka kwa VIONGOZI wa Ccm.

Ccm watoke na majibu na mapendekezo kuhusu hoja zifuatazo.

1. Katiba Mpya.

2. Tume Huru ya Uchaguzi.

3. Tume ya ukweli haki na maridhiano.
 
Back
Top Bottom