Kiongozi mkubwa wa CCM amewataka wananchi wapuuze uzushi unaonea mitandaoni kuwa mchele umefikia 3500 kwa kilo sababu yeye mwenyewe ametembelea masoko yote makubwa nchini na hajakutana na bei hiyo...
Wanabodi,
Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, ni keshokutwa tuu, siku ya Jumatano ijayo, kwa mazingira ya the political dynamics za siasa za nchi yetu, hali halisi ya uwanja wetu wa siasa...
Taarifa zilizotoka za kuruhusu mikutano ya hadhara ya kisiasa hapo majuzi zinadai kuwa mikutano hiyo ilizuiwa baada ya baadhi ya wanasiasa kufanya mikutano hiyo kuwa pango la matusi,kashfa na...
Mbunge wa Kawe. Asikofu Dr Josepat Gwajima. Ametembelea Bunge la Japan. Hapa akituma salaam kwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Spika wa Bunge Mhe. Tulia...
Mwanzo nilikuwa simuelewi elewi huyu mama, lakini mpaka sasa nimemkubali ni zaidi ya kiongozi!
Haya ni mambo ambayo yanathibitisha kuwa uongozi ni hekima Wala sio mihemuko
1: Ni mpenda haki/...
Moses Machali anafanya Siasa au uongozi wa kitoto kitoto. Viongozi hukaa na kusikilizana na kushauriana. Huyu anaenda kwa viongozi anaanza kuwatukana na kuwadharau, hajui humo ndani ndio Kuna kura...
Rais Samia Suluhu alisema zama zetu hizi zinapitia changamoto nyingi hivyo ameamua kubuni mbinu mpya ili kuendana na wakati tulipo. amekuja na wazo la nguzo nne (4R) za uongozi ambazo ni...
Natoa tu angalizo kwa sababu kila nimsomapo Kigwa kule twitani na harakati zake simuelewi kabisa.
Waziri Mkuu anapaswa kuwa mtu mwenye utulivu kama hawa akina Majaliwa, Pinda au Mzee Salim.
Leo...
Nasoma vichwa vya habari nakuangalia TV pamoja na kusikiliza radios; habari za Lissu wamezipotezea.
You know what Gona happen wanampa popularity kwa msingi ule ule kwamba ametengwa na muhimili wa...
Wadau, amani iwe kwenu.
Katika historia ya upinzani nchini, mwaka 2015 ulikuwa ni uchaguzi ambao ulitushughulisha sana wana CCM. Hata hapa kwenye jukwaa mijadala ilikuwa ni mikali na mnyukano...
Kwa maelezo ya Mbowe ametumia mabilioni ya fedha kuijenga CHADEMA. Kwa bahati nzuri hakuna anayekanusha haya kutoka kwa wana CHADEMA wenzake.
Swali langu wengine mchango wao ni upi au ni kama...
Kijiji cha Muhoji ni moja kati ya vijiji vinne (4) vya Kata ya Bugwema - vingine ni Masinono, Kinyang'erere na Bugwema. Kata hii ina Sekondari moja iitwayo Bugwema ambayo kwa sasa imeelemewa sana...
Nimekuwa nikifuatilia posti nyingi hapa jamii forums zinazomuhusu aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, pia hata mitaani na kwenye vyanzo vingi vya habari ikitokea magufuli ametajwa na kiongozi...
Mwenyekiti wa Kamati ya Lissu Home Coming Mchungaji Msigwa amesema maandalizi yote ya mapokezi ya Makamu Mwenyekiti na mgombea Urais Tundu Lissu yamekalika.
Mchungaji Msigwa amesema wameshatoa...
Baada ya kuondolewa zuio haramu la mikutano ya kisiasa, alichokifanya Mbowe katika ufunguzi kwa kumsifia Rais Samia badala ya kujikita katika hoja za kushambulia ni mkakati wa kisiasa wa aina...
Ili watu wote tuwe kwenye ukurasa mmoja wa uelewa bila kujali itikadi zetu za kisiasa, elimu, jinsia na hata makabila na kanda zetu tunakotoka ni lazima neno "kufanya siasa za kistaarabu" lipewe...
Hamasa ninayoishuhudia leo inanikumbusha siku tuliyompokea Mwanamageuzi Oscar Kambona kutoka Uhamishoni Uingereza.
Kiukweli Bila kujali itikadi ya vyama wananchi kwa maelfu walifurika kumlaki...
Nachukua nafasi hii kumpongeza mwenyekiti wa CHADEMA kwa kutambua thamani ya Tanzania Tofauti na huko nyuma sasa hotuba zake zimejaa uzalendo anaitanguliza Tanzania. Anaonesha heshima kubwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.