Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Hakika dunia na maisha vinakwenda kasi sana.
Naamini hii picha itakuwa ni funzo kubwa sana kwa Askari wetu na wana siasa wa upinzani hapa nchini.
Kwa miaka 7 hii kitu haikuonekana ktk mazingira yoyote katika mikutano ya kisiasa.
Nampongeza sana rais wa nchi na mwenyekiti wa cdm mh Mbowe kwa kuwezesha kurudisha tabasamu kwa askari na wanapinzani.
Wale wanaobeza juhudi za rais na mh Mbowe kurudisha utangamano na maridhiano hao hawana sifa ya kuitwa watanzania.