Kama ni kweli Polisi wamepeleka hoja zao kwa John Heche wa CHADEMA ili awatetee basi kuna tatizo mahali, Heche siyo Mbunge

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,000
142,028
Katika hotuba yake jana Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA Mh John Heche amesema polisi wameona madhara ya kutokuwepo wabunge wa Upinzani bungeni.

Kwa maana hiyo polisi wamempa mh Heche hoja zao akazitetee.

Kama ni kweli maelezo haya ya mh Heche basi kuna tatizo mahali.

Heche hayuko katika nafasi yoyote ya kuweza kuchukua hoja za polisi na kuzitetea siyo Mbunge siyo diwani wala siyo chochote kwenye mihimili ya Dola.

Yawezekana ni kutafuta Kiki tu za "Kikurya"
 
  • Thanks
Reactions: Tui
CCM siku zote inawatumia Polisi kama tambala la deki. Wakishatimiza matakwa yao Polisi si kitu Kwa CCM. Tembea nchi nzima CCM ndo wanaoongoza kuwasema vibaya Polisi zaidi ya wapinzani àmbao huwa wanawasema baada ya Polisi kuwafanyia ukandamizaji.

Nenda bungeni, ni wapinzani ndio watetezi wakubwa wa Polisi na siyo Wabunge wa CCM. Polisi wenyewe wanalijua hili ndo maana baada ya kukosa wapinzani wa kuwatetea mwishoni mwa mwaka Jana wakaamua kupeleka hoja zào gazeti la Mwananchi. Au umesahau?
 
Katika hotuba yake jana Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh John Heche amesema polisi wameona madhara ya kutokuwepo wabunge wa Upinzani bungeni

Kwa maana hiyo polisi wamempa mh Heche hoja zao akazitetee

Kama ni kweli maelezo haya ya mh Heche basi kuna tatizo mahali

Heche hayuko katika nafasi yoyote ya kuweza kuchukua hoja za polisi na kuzitetea siyo Mbunge siyo diwani wala siyo chochote kwenye mihimili ya Dola

Yawezekana ni kutafuta Kiki tu za " Kikurya"

Ngwear FT Mirror - Maskini WENZANGU


Intro: cowwizy ,ybm

Verse 1:
wachache ndo wanaishi wengi wetu ma escorts,
twiga wanapanda pipa hata bila ya passports,
mikoa mingi bado haina hata airports,
zaidi ya migodini madini kuya export,
bila ya wazawa kufaidika,
ndo mana wazanzibara wamechoka kutanga na nyika,
big up Mandela leo South sio Africa,
waliotangulia kupata uhuru bado wanapigika,
bidhaa zilizo expire kutubambika,
meli zinazidi zama wengi daily tunawazika,
wenye hali duni ndo tunao athirika,
wao ma vx yao ni special order uhakika,
tutalia machozi ya damu mpaka yata form bahari,
na tutaogelea wenyewe na watu hawajali,
leta mgomo baridi uijue serikali then muulize Ulimboka umuhimu wa Madaktari let's go

Chorus
(bado nalia tu na Tanzania yangu/kweli mali ni nyingi wale wachache wenzangu/me nalia na masikini wenzangu/eeh baba Mungu sikia kilo changu/issue is harder tuna suffer/sikia kilio changu/issue is harder tuna suffer/me nalia like..........)

Verse 2:
viongozi wa siasa kama viongozi wa dini,
mengi wanaongea coz silaha yao ni ulimi,
mh.spika Tanzania huru inazidi zeeka tayari ni miaka 50,
mengi mmetuahidi pia ahadi ni deni,
pia tunatambua umuhimu wa UN,
kupinga h.I.v,umaskini na rushwa and,
mabilioni yanayotumika kwa campgain,
kama za kupinga unyanyasaji wa watoto,
zisiishie kwenye promo na kuwalisha bado ndoto,
ishu sio kutupiana maneno bungeni,
bali watoto watoke mtaani warudi shuleni
,mkulima shambani anahitaji usafiri wa treni,
nyie piteni angani mazao yake muuzieni,
mpeni bei nzuri aweze mudu zaidi ya trector,
ni mawazo tu DIC usione nakuTATOR

(chorous)

Verse 3.
Tanu ilifanya kazi kubwa 61,
solution sio labda nchi wachukue upinzani,
bali mtanzania wa chini anaishi maisha gani,
watu wanakufa kwa njaa iweje tujivunie amani,
ni mengi tu mazuri yamefanyika mpaka sasa,
ila naamini bado tungekuwa mbali(hivi babu wa Loliondo nae inawezekana tu ilikuwa ni siasa)NO !(Lakini iko wapi hii kaburi ya Balali !?) Men ! Jibu unalo so usiulize swali,una dini ?
Mkristu sali na Muislam swali coz,
bado tunaishi ki mungu mungu,
Baada ya m weka z usikie kizungu zungu jinsi ukoloni unafanya mambo mpaka leo,
kuongoza jamii sio kumtawala mkeo,
najiuliza maisha yangekuwaje bila mziki,
hivi mtaani ingekuwa vp ? Ingekuwa mziki ...

(Chorous)

outro yeah chamber squad baby,one love,Tanzania,Muro jr I see ya ......
Till fade
 
Katika hotuba yake jana Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh John Heche amesema polisi wameona madhara ya kutokuwepo wabunge wa Upinzani bungeni

Kwa maana hiyo polisi wamempa mh Heche hoja zao akazitetee

Kama ni kweli maelezo haya ya mh Heche basi kuna tatizo mahali

Heche hayuko katika nafasi yoyote ya kuweza kuchukua hoja za polisi na kuzitetea siyo Mbunge siyo diwani wala siyo chochote kwenye mihimili ya Dola

Yawezekana ni kutafuta Kiki tu za " Kikurya"

Hata angekuwa mbunge, hakuna chochote kingetokea kwa hilo bunge kibogoyo.
 
Katika hotuba yake jana Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA mh John Heche amesema polisi wameona madhara ya kutokuwepo wabunge wa Upinzani bungeni

Kwa maana hiyo polisi wamempa mh Heche hoja zao akazitetee

Kama ni kweli maelezo haya ya mh Heche basi kuna tatizo mahali

Heche hayuko katika nafasi yoyote ya kuweza kuchukua hoja za polisi na kuzitetea siyo Mbunge siyo diwani wala siyo chochote kwenye mihimili ya Dola

Yawezekana ni kutafuta Kiki tu za " Kikurya"
Mwaka huu lazima upate kitafa cha mimba niko nimekaa pale
 
Hivi mnakumbuka nani walichachamaa bungeni kuhusu Polisi kuishi kwenye yale mabanda ya bati duni kuliko ya kuku?
Kama sisi hatukumbuki wao polisi wanakumbuka na kufahamu ukweli

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kwani kota za NHC hapo Ufipa, Togo nk zina tofauti gani na kota za manjagu wa oyster bay?

Anyway waliotetea ni wabunge wa Chadema ambao wote wako CCM kwa sasa!
 
Heche hana akili, busara wala hekima. Hakupaswa kamwe kusema polisi wamempa hizo hoja. Alitakiwa kuzitoa kama zake mwenyewe.

Ropoka ropoka ya wana CDM inawaponza, hauwezi kujenga mahusiano ya muda mrefu ya kuaminiana kama bichwa lako halina filter, haujui kipi useme kipi ufiche. Sasa yeye anadhani serikali ikiamua kuwasaka hao polisi itashindwa? Ameshawapa pa kuanzia. Mpuuzi kabisa.

Yaleyale ya Lissu na kikao chake na mama Samia, baada ya kumaliza tu, huyo mitandaoni kuropoka waliyoyaongea. Wajinga kweli hawa.
 
Back
Top Bottom