Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tuwe tu wakweli Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki kumshinda Sugu Moto Chini kunahitaji timing Nionavyo Dkt. Tulia atashinda kirahisi zaidi Rungwe Pale Upanga CCC enzi za Bishop Prof Mwenisongole...
9 Reactions
60 Replies
4K Views
Hivi karibuni Benki ya Dunia imetoa ripoti ambayo imekuwa na sura kuu mbili ikiibebesha sifa Tanzania kiuchumi Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani alikuta hali ya uchumi ikiwa katika...
0 Reactions
0 Replies
631 Views
Huwezi amini fadhili za Bwana ni za milele. Manusura wote wa mkono wa chuma wa awamu ya tano waliokimbilia nje ya nchi kuokoa roho zao Mungu hakuwatindikia wao na familia zao. 1. Tundu Antipas...
29 Reactions
90 Replies
5K Views
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Sophia Mjema, amesema Chama hicho kitahakikisha huduma Bora kwa Wananchi zinaendelea kutolewa katika Sekta ya Afya kuanzia Majengo kwenye...
3 Reactions
6 Replies
880 Views
Unakuta jimbo lako watia nia ndani ya chama wapo zaidi ya 17, halafu kwa utaratibu mpya Kamati kuu inatakiwa kuteua majina matatu tu ndiyo yakapigiwe kura za maoni. Na Magufuli ndiye Mwenyekiti wa...
58 Reactions
151 Replies
15K Views
BAKWATA inapenda kuufahamisha Jamii ya Waislam kuwa Mheshimiwa Mufti wa Tanzania ameivunja kamati ya Mwezi iliyokuwepo na kuunda kamati Mpya na kuoongezea nguvu.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mhe. Luhaga Joelson Mpina MB, anafaa kuchukuwa nafasi ya Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa MB na Waziri Mkuu wa JMT; kwenye cabinet ijayo 2025. Mhe. Mpina amedhihirisha kiwango cha juu cha uzalendo...
3 Reactions
86 Replies
6K Views
Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi. Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili...
4 Reactions
56 Replies
2K Views
Habari za saa wanachama wote. Siku ya leo ningependa kufahamishana nanyi moja ya jambo ambalo serikali ya China katika miaka ya 1970s ilifanya ili taifa lao liweze kupata maendeleo ya kasi...
3 Reactions
53 Replies
2K Views
NUKUU ZA VIONGOZI WA SEKRETARIETI YA CCM HANDENI MKOANI TANGA. Baadhi ya #NUKUU Hotuba ya Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia E. Mjema na Katibu wa NEC, Idara ya Organaizesheni...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hiki chama mamluki kilichosheheni wasaliti kinatumia muda mwingi sana kuishambulia CHADEMA badala ya kunadi sera za maana kwa Wananchi. Kwa muda mrefu sasa agenda yake kuu imekuwa kuisakama...
2 Reactions
18 Replies
907 Views
Yaani katika fikra zake anaona wananchi wanachokosa kwa polisi ni utani tu? Kuwa ndo issue kubwa? Kuwa sasa wafurahi maana maisha yao yatakuwa ok kwa kuwa wanataniana na polisi? Hasemi msiogope...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Bila Chama hakuna maendeleo. Kupitia Chama ndipo inatengenezwa ilani ya kunadi maendeleo katika kipindi husika (hapa nchini kila baada ya miaka mitano). Sisi CCM tunaamini ili tuendelee...
0 Reactions
6 Replies
509 Views
Hii ameisema muda mfupi, eti kuwajali wanyonge sio kuwaita wanyonge wanyonge ni kuwatimizia mahitaji yao. Hili ni dongo kwa mwenzake aliwaitwa Rais wa wanyonge. Rest in Peace Magufuli. USSR
8 Reactions
97 Replies
4K Views
Mfumo wa demokrasia unaojumuisha ushindani wa vyama vingi tunaoupigia chapuo katika nchi yetu asili yake hasa ni magharibi. Katika demokrasia halisi vyama vya siasa huwa ni vyombo vinavyokuwa...
3 Reactions
6 Replies
727 Views
Na MWANDISHI WETU, KIGOMA MAHAKAMA Kuu Kanda ya Kigoma, imetoa amri kwa Bodi ya Wadhamini ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wadaiwa wengine kusitisha...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika historia ya CCM haijawahi kutokea kuwa na Katibu Mkuu aliye 'underperform' kama mzee Wilson Mukama. Mbali ya kupewa sifa kemkem na wanaCCM kwa usomi wake kama anavyopewa leo Dr. Bashiru...
25 Reactions
93 Replies
14K Views
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mkuu wa Idara ya Katiba na Sheria wa chama hicho, Dk. Sengondo Mvungi, Alisema chama hicho kinasikitishwa na hatua ya mahakama kwa kuwa...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu...
8 Reactions
75 Replies
6K Views
Maamuzi yanayopitishwa na Baraza la Mawaziri ili kuwa sheria ni muswada unaopitia michakato mingi ndani ya serikali. Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri ndiye Mwenyekiti wa Taifa...
1 Reactions
6 Replies
951 Views
Back
Top Bottom