Luhaga Mpina ndiye Waziri Mkuu ajaye

Luhaga Mpina ndiye Waziri Mkuu ajaye

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,614
Mhe. Luhaga Joelson Mpina MB, anafaa kuchukuwa nafasi ya Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa MB na Waziri Mkuu wa JMT; kwenye cabinet ijayo 2025.

Mhe. Mpina amedhihirisha kiwango cha juu cha uzalendo kwa taifa, ujasiri, ari, nidhamu ya kutolea mfano, weledi, kazi za matokeo makubwa nk.

Anafaa kuisimamisha serikali ya 2025 - 2035 kwenye nafasi ya utendaji ya PM.

 
Mpina sio mzalendo. Uliza wavuvi wakuambie ubaya wake. Mpina ni kundi moja na Sabaya, Makonda, aliyekuwa DPP, na makatili wengine enzi za JPM. Ila kama CHADEMA wanampenda atawafaa kuwa mgombea urais 2025.
Alafu akishinda kupitia CHADEMA anarudi kuwaongoza hao hao wasiomtaka au watahama nchi km akishinda? Duniani hajawahi tokea wa kupendwa 100%.
 
Vijana wenzangu, tuache ushabiki wa kivyama na tujikite kwenye mambo muhimu yatakayo saidia nchi yetu kusonga mbele zaidi kiuchumi, n.k

Hakuna anayefaa kuwa waziri mkuu ndani ya CCM hii au CHADEMA, if tutaendelea kuwa na katiba hii ya kikoloni. Vijana wenye mawazo kama ya mdude au Nape, n.k, kila siku tutaendelea kulalama tu

Tuache kufanya kampeni/ kuwapigia madebe watu ambao walisha jipambanua kwa umma wa watanzania, na tukajua tabia na hulka zao, tuache njaa vijana taifa inatutegemea.
 
Hili hamna kitu! Hasira za kukosa uwaziri tu! Hivi bado mna hamu ya kuongozwa na vichaa?
Historia ina ushahidi duniani vichaa ndiyo wamefanikiwa kujenga nchi zao:-

1. Adolf Hitler.

2. Benito Amilcare Andrea Mussolini.

3. Gen. Hideki Tojo. (Akisaidiana na Gen. Douglas MacArthur)

4. Mao Tsetung.

6. Joseph Stalin.

7. Saddam Hussein.

8. Muammar Gaddafi.

9. Pik Botha.

10. Yoweri Museveni.

11. Paul Kagame.

12. John Magufuli.

13. Abeid Karume.

14. Haile Selassie.

15. Rodrigo Duterte.

16. Nicholas Maduro.

17. Omar Bongo.

18. Omar al-Bashir.

19. Mobutu Sese Seko.

20. Kamuzu Banda.

21. Felix Houphouet-Boigny.
 
Back
Top Bottom