Kwa kuwa ni dhahiri kwamba Lissu hawezi kukaa Tanzania kwa zaidi ya mwezi, endapo CHADEMA itathubutu kumpa uenyekiti wa chama, itabidi baadhi ya idara na watumishi wapate uhamisho wa kuhamia...
Tulimsikia Godbless Lema, akitoa tuhuma nzito pale Bungeni, kuwa Waziri wa Nishati, Dr Merdard Kalemani, ndiye aliyehusika na kuzinyofoa CCTV camera, zilizokuwa zikiwaonyesha watu waliomshambulia...
Moja kwa Moja kwenye mada.
Kwa Mujibu wa Rais Samia, punde tuu baada ya Kuteuliwa kuwa Waziri wa Nishati Bwana January Makamba alimuendea Rais akihitaji Trilioni 11 za kuisuka upya Tanesco.
Kwa...
Mbunge wa CCM wa jimbo la Siha, Mollel ametoa kauli bungeni ya kusema anao ushahidi wote wa CHADEMA kuhusika na tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu lakini hataweza kuutoa mpaka CHADEMA watoe...
Unaambiwa la kuvunda halina Ubani, Gazeti la Raia mwema linaripoti kwamba Ole Sabaya aliyeachiwa na Mahakama Kuu hivi karibuni bado yuko matatani baada ya taarifa mpya kwamba ANAFUNGULIWA KESI...
Jitihada za mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA amefanikisha ujenzi wa hospitali ya wilaya ambayo ndio imeanza kutoa huduma za awali
Biharamulo ni wilaya kongwe zilizoanza tangu ukoloni ziwa...
Kwa sasa CHADEMA inashukuru udhaifu wa vyama vingine vya Upinzani vinginevyo kisingekuwa chama kikuu cha Upinzani
Tangu ipoteze Wabunge wake Wengi waliounga mkono juhudi Chadema wamekuwa Tia Maji...
Moja kwa Moja kwenye mada.
Kwa nini Kuwe na ongezeko la matumizi ya Saruji Kwa karibu Tani mil.1 sawa 14% mwaka 2022 ila mapato ya Kodi Yamepungua kwa Bil. 4.1 ukilinganisha na Mwaka 2021?
Je...
Binafsi nafurahi kuona nchi imefunguka kisiasa na inaleta uhai wa Taifa kuona msigano wa mawazo toka kona mbalimbali za maisha. Mheshimiwa Rais hongera kwa kulirudisha Taifa mahala pake kwa maana...
MIKUTANO YA HADHARA NI FURSA KWA VIJANA WA CCM KUTENGENEZA AJENDA
Na Victoria Charles Mwanziva: Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa
Demokrasia ni mchakato ambao hutoa...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu. Alirejea nchini kwa mbwembwe nyingi hivi karibuni na Chadema wakajitahidi kumpokea kwa mbwembwe zote.
Huku akijinasibu kurudi nyumbani kuendelea na siasa...
Wafanyabiashara wa Soko la Sinza Makaburini wamedai kuna uonevu mkubwa wanafanyiwa na uongozi wa Halmashari ya Ubungo kwa kuwalazimisha kusaini mkataba ambayo hawajairidhia.
Baadhi ya...
Siku zote tumeandika humu kwamba Kutenda uovu ni laana na adhabu yake ni kubwa sana kiroho , Nchi hii inaongozwa na Katiba , hata kama ni mbovu ni lazima ifuatwe na hasa kwenye vipengere vya Haki...
Mwaka 1996 wakati ajali kubwa ikitokea Ziwa Victoria mimi nilikuwa Ukraine nikiwa nimemaliza mwaka wa kwanza wa lugha nikijitayarisha kuingia mwaka wa masomo. Nakumbuka namna sisi watanzania...
Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea kuhakikisha umeme unafika katika kila kitongoji lengo ikiwani ni kuibua fursa zitokanazo na umeme, Rais Samia Suluhu alisema "Nishati ya uhakika ni uhuru"...
Taarifa ya Uteuzi Kutoka Ikulu Zanzibar
====
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewateua viongozi wafuatao:-
1. Ndugu Mohamed Aboud...
Siwafundishi kuhusu siasa ila ni bora kama chama kilichokuwa na kinachoishilia katika ushawishi wake kwa wananchi! Iko haja viongozi wandamizi kuketi ili kupiga hesabu za chama kinapashwa kiwe na...
Siasa ni Sayansi na Maarifa
Tukumbushane tu ni Wanaccm wawili tu waliojitosa kumjulia hali Tundu Lisu akiwa mahututi Hospital kule Nairobi Kenya
Ni Makamu wa Rais wa wakati ambaye sasa ni Rais...
Kuna Dhana ilianza kupigiwa debe na Serikali ya kuwawezesha watanzania kunufaika na fursa zilizoko nchini ili kuchochea ajira na kukuza uchumi wa nchi yetu, Leo Bilioni 7.5 zinakwenda kunufaisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.