Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari za weekend, Leo nimeingia mwenye tovuti ya wakala wa barabara nchini Tanroads nimeshtushwa na kukuta taarifa za miradi ya ujenzi zikiwemo barabara na madaraja ikionesha kuwa bado ujenzi...
0 Reactions
3 Replies
418 Views
Habari, kwa asili binadamu ni waovu, inahitajika nguvu kubwa sana kulizuia kundi hili, kundi hili ni kundi la watu wasiojali uhai wa wananchi na taifa, inahitajika nguvu kubwa na ushupavu wa...
0 Reactions
6 Replies
731 Views
..ni mahojiano na Dar24. Dkt. Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake. Lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dkt. Kimei pia ameituhumu Serikali ya...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Ikumbukwe hakuna Kipindi kigumu Chadema wamewahi kupitia kama awamu ya Shujaa Magufuli Wabunge wengi wa Chadema walihamia CCM Viongozi wengi wa Chadema walifungwa jela Makatibu Wakuu wa Chadema...
0 Reactions
17 Replies
854 Views
SOMA KWA MAKINI WEWE BARVICHA, Kijana wa UVCCM jifunze kusema hapana mahali unapopaswa kusema hapana na kujifunza kusema ndiyo mahali unapopaswa kusema ndiyo Maamuzi sahihi ni maisha yako. Kamwe...
0 Reactions
1 Replies
577 Views
Yanga wanaogopa Nini? Mbona sioni shamrashamra kama za jana kwa wenzao Simba SC? Wasiwasi wa nini wajameni? Hebu jiaminini? Jana baada ya kutoka jumuiya asubuhi naona mashabiki wana shangwe na...
1 Reactions
9 Replies
620 Views
Ukiachana na mtaji , idadi ya wanajeshi, technology, uzalendo kwa ulimwengu wa kisasa lazima uwe na back up,Hii back ndio inamfanya Ukraine iendelee kupigana japo ilishiwa karibu kila kitu CCM...
2 Reactions
15 Replies
652 Views
Hili lazima tuliangalie kwa jicho la tatu!jana akiwa pale Temeke alitoa tamko. Kwamba, atawaomba Watanzania na wanachama wa Chadema kuingia mtaani kuhakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya...
11 Reactions
76 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri! Niende kwenye mada moja kwa moja. Imenifikirisha sana, suala la serikali kuchagua baadhi ya wanafunzi kuwalipia ada ya mtihani na wengine kutowalipia na hali ya...
1 Reactions
5 Replies
596 Views
Watu Wengi wanadhani Freeman Mbowe alipewa Uenyekiti wa Chadema na mzee Mtei kwa sababu ya mahusiano yao binafsi, Hiyo siyo kweli Mbowe alishaandaliwa kuwa Kiongozi kitambo sana na ndio sababu...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Fuatilia matangazo ya mbashara (moja kwa moja) kutoka Ikulu Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anazungumza na wawakilishi wa Jumuiya ya...
8 Reactions
201 Replies
23K Views
Kumekuwepo na utaratibu au utamaduni wa kubeza mafanikio na kutokukubali kwa dhati kabisa na kupongeza kazi nzuri inayofanywa na Serikali rais Jakaya Kikwetena chama chake cha CCM. kuna wachache...
4 Reactions
57 Replies
9K Views
Wadau Nawasabahi.Sasa ni Miaka 62 ya Uhuru Nchi haina tatizo lolote kama vile vita vya Congo au Sudani ya Kusini, Nchi haina ukamw kama Ethiopia au Kaskazini ya Kenya . Tanzania imebarikiwa...
1 Reactions
5 Replies
627 Views
Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Chama cha Siasa hakiuzi Nyanya Vitunguu wala Maandazi bali kinauza Mawazo na Mteja wake ni Nchi Naye Katibu mkuu Addo Shaibu amesema Chama...
0 Reactions
11 Replies
973 Views
Na John Walter-Babati Mkuu wa Wilaya ya Babati Lazaro Twange ameagiza watu waliovamia eneo la Msitu wa asili wa kijiji cha Endaw hekari 192 katika kata ya Qameyu Halmashauri ya Wilaya ya Babati...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati tunazungumzia suala la serikali kuzuia uuzwaji wa nafaka nje ya nchi hatukuleweka kwa wengi. Leo tumeanza kuagiza mchele nje ya nchi kwa tani nyingi ambao hatuna uhakika kama mchele huo...
14 Reactions
86 Replies
5K Views
Mpina leo hii ndiyo ujifanye mwanaharakati wa kuikosoa serikali? Hivi ninyi wanasiasa acheni unafiki acheni kuwachezesha Shere waTanzania au kisa mnawaona waTanzania mburula? Mpina kipindi ni...
11 Reactions
13 Replies
1K Views
Unaumiza kichwa kutoa ahadi zisizo na tija. Toa ahadi ya Mil 5 kwa Mwl atayetoa matokeo mazuri. Toa ahadi kwa afande atakaye dhibhiti ujambazi. Toa ahadi kwa manesi . Ona sasa
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri wa Kilimo Zanzibar mh Shaame Khamis amesema Ndizi za Veronica Mwanjala zilitaifishwa kwa sababu Zanzibar imezuia kuingiza ndizi kutoka bara kwa sababu ya magonjwa ya migomba yaliyoko bara...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Tuwe tu wakweli Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki kumshinda Sugu Moto Chini kunahitaji timing Nionavyo Dkt. Tulia atashinda kirahisi zaidi Rungwe Pale Upanga CCC enzi za Bishop Prof Mwenisongole...
9 Reactions
60 Replies
4K Views
Back
Top Bottom