Nukuu za Viongozi wa Sekretarieti ya CCM mkoani Tanga

Hamduni

Senior Member
Apr 25, 2020
155
108
NUKUU ZA VIONGOZI WA SEKRETARIETI YA CCM HANDENI MKOANI TANGA.

Baadhi ya #NUKUU Hotuba ya Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia E. Mjema na Katibu wa NEC, Idara ya Organaizesheni Ndg. Issa Haji Ussi (GAVU) wakati wakizungumza kwenye ukaguzi wa Jengo la huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga tarehe 18 Februari, 2023.

#NUKUU
1. “Kwa ubora wa jengo hili la mama na mtoto la hospitali hii, Tumpongeze Sana Mhe Rais” Ndg. Mjema

2. “Kwa huduma hizi za afya zilivyoboreka, sasa ni Raha ya uzazi kwa mama maana uchungu wa mwana haipo tena kwa sababu ya huduma bora” Ndg. Gavu

3. “Nimuagize Meneja Tanroads Mkoa wa Tanga aje ahakikishe alama zote za tahadhari zimeweka katika barabara hii ya kuingilia ili kuepuka ajali” Ndg. Mjema

4. “DMO tumeongea nae pale mpaka mwisho wa mwezi huu watu waanze kutibiwa hapa.” Ndg. Mjema

5. “Tuko handeni ikiwa na muendelezo wa ziara za ukaguzi wa utekelezaji wa Ilani, hakika Tunampongeza sana Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Mwenyekiti wetu kwa kazi kubwa Sana anayoifanya.” Ndg. Gavu

6. “Kama mlivyoahidi huduma zianze ili wananchi wapate huduma hapa." Ndg. Gavu

#mjemanagavukazini
#mchakamchakailaniyachamainatekelezwa

P-IMG-20230218-WA0012.jpg

P-IMG-20230218-WA0021.jpg

P-IMG-20230218-WA0010.jpg

P-IMG-20230218-WA0011.jpg
 
Hakuna Lolote Hao Wala Per Diem Za Chama Tu, Unaitwa Urefu Wa Kamba
Watakwenda Kununua Wali Maharage Wapige Pictures Wakila
Kesho News Kwenye Gazeti Font Feji
 
Back
Top Bottom