Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Awamu zote za serikali Ngorongoro haikuguswa kabisa! Wamasai waliachwa kama urithi wa ikolojia ya asili kwa Watanzania. Ngorongoro ilibaki kama utambulisho pekee asilia wa utamaduni wetu...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Watanzania, Binafsi nampongeza Sana Ndugu yangu Maulidi kitenge kwa nondo zilizoshiba za kumjibu Shaka Hamdu shaka kuhusu Katiba Mpya na ushirikishwaji wake KWA wananchi! Kitenge amemjibu shaka...
12 Reactions
23 Replies
4K Views
Dunia ni kijiji kinachoendeshwa kwa teknolojia Tumwache Tundu Antipas Lisu aishi sehemu anayohisi yuko salama zaidi, Tusimpangie Ameshapitia magumu mengi ikiwemo kuchungulia kaburi Dominica njema
0 Reactions
2 Replies
478 Views
Kila mpinga "Rushwa"anaitwa .... "Sankara Gangi" Tunalazimishwa na kuaminishwa... Sankara alikuwa Mbaya na Mwizi! Ili tu kumfurahisha aliyewekwa na waliomuondoa mpendwa wetu Sankara! Waliokuwa...
0 Reactions
11 Replies
572 Views
Ukishasoma,uisikilize hii clip pia,ndio utaelewa ninamaanisha nini? Imekuwa kawaida kwa Rais Samia,kukataa kuwasikiliza wananchi wenye kero zao,pale wanapofanikiwa kufika katika matukio ya...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Leo sionglei hela za Wahujumu Uchumi kwenda kufichwa China na mchakato wa Investigating Plea Bargaining. Ni uzi mwingine ntaweka. Kipindi anaenda kuchukua fomu ya kuomba...
32 Reactions
157 Replies
8K Views
Na WyEST, BUTIAMA - MARA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda amekitaka Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kilichopo Butiama...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Magufuli aliwezaje kuwashawishi bunge kila wizara aliyoitumikia kupita bila shida tena kwa asilimia zote, bunge lilijaa wapinzani tena wenye ushawishi hao kina mbowe, Lisu,lema, Mbatia...
2 Reactions
4 Replies
466 Views
MIRADI YA SEKTA YA AFYA ILIYOPATA FEDHA JIMBO LA IGUNGA KWA MWEZI FEBRUARI 2023 1. Zahanati ya Mtunguru (Kata ya Mtunguru) - Tshs. 46,600,000/- 2. Zahanati ya Igogo (Kata ya Nanga) - Tshs...
0 Reactions
2 Replies
512 Views
Salute wakuu, Namtizama John pombe magufuli, mzalendo aliyetukuka,mwanajeshi mpambanaji,aliyekufa akiwa mstari wa mbele akilipambania taifa lake Alikuwa rais kupitia CCM, lakini aliwachukia ccm...
12 Reactions
58 Replies
2K Views
[emoji843]Ufunguzi wa Mradi wa Maduka ya Darajani Souk. [emoji843]Mgeni Rasmi: Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. [emoji2733] 02:00 Asubuhi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Duniani kote hakuna nchi imewahi kuendelea kwa kufuata demokrasia. Wazungu walitutupia demokrasia na kutulazimisha kuifuata si kwamba wanatupenda sana, ni kuwa walitaka tupate mkwamo tusiendeleee...
2 Reactions
96 Replies
4K Views
Kama ungewatafuta watu ambao ni ngumu sana kuwakuta wanashabikia watu hivi hivi ( sycophancy) mie ni mmoja wao. Nina tabia ya kuunga mkono watu wenye kitu( substantive). Katika mizunguko yangu ya...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Hapa anaonekana Mbunge wa Chalinze na waziri mdogo wa ardhi akiwatia moyo wananchi wake. CCM wapo vizuri. 👇
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Kipigo cha tatu bila kwa timu ya Simba kimenifanya niiangalie tena video ya Mchungaji Komando Mashimo kwa sasa anayejiita Nabii Mikaya aliyemuomba Rais Samia awalipie deni Simba na Yanga ili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ilianza kidogo kwa Tanesco tukaambiwa matengenezo makubwa ya kubadili nyaya na marekebisho ya mitambo kinyerezi na ile ya kufua umeme na hata mitambo ilizimwa ili kufanya jambo lionekane la...
0 Reactions
1 Replies
387 Views
Mgodi ambao unatema kila siku. Mgodi ambao wenyeje wanaachwa na maandaki bila kubaki na chochote. Mgodi ambao wajinga ndio wanaofanyishwa kazi na werevu wanahepa na dhahabu za kunufaisha Taifa...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Toka kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, haya ndio waliyoyazungumza CHADEMA kwa ujumla wake. Hii ndio summary ya mikutano ya chadema na mada wanazozungumza. Hiki chama...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Sijui alifanya nini yule mwamba hapa Dar es salaam mji wenye matatizo kila sekta kila idara ila maji yalikuwa yanatoka kila siku mchana na usiku Hata yangekatika ni muda mfupi yanarudi tena...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom