Maendeleo yana Chama

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
6,223
7,407
Bila Chama hakuna maendeleo. Kupitia Chama ndipo inatengenezwa ilani ya kunadi maendeleo katika kipindi husika (hapa nchini kila baada ya miaka mitano).

Sisi CCM tunaamini ili tuendelee tunahitaji vitu vitatu;
1. Watu,
2. Ardhi,
3. Siasa Safi
NB: Ni vema kila mwananchi akasome ilani ya Chama yenye kurasa 303 kuelewa muelekeo wa maendeleo yetu Kwa ujumla
 
Miaka 60 watu wapo,ardhi ipo,siasa Safi hazipo bado matundu ya Choo hayapo, Kwa sasa mnakosa AKILI NA UONGOZI
 
Back
Top Bottom