Katika historia ya CCM haijawahi kutokea kuwa na Katibu Mkuu aliye 'underperform' kama mzee Wilson Mukama. Mbali ya kupewa sifa kemkem na wanaCCM kwa usomi wake kama anavyopewa leo Dr. Bashiru Ally sidhani kama Mukama alimaliza hata mwaka mmoja kwenye kiti hicho.
I can predict the same.
Pamoja na uchambuzi wake wa masuala ya siasa Bashiru hakijui chama kama alivyo kuwa anakijua Makamba, Mukama au Kinana.
Mukama alipoingia, assignment yake ya kwanza ilikuwa kuyavua magamba yaliyogomea kiunoni, akaingia kichwa kichwa hakujua mizizi ya magamba kwenye chama ilikuwa imejichimbia kiasi gani, magamba yakamzidi nguvu yakamvua yeye instead, kazi iliyokuja kufanywa na Kinana akisaidiana na Nape kwa akili kubwa.
This time Bashiru kama ilivyokuwa kwa Mukama, assignment yake ya kwanza ni kusafisha chama kujua madeni ya chama, miradi ya chama nani anahodhi mali za chama, kuondoa ufisadi na mafisadi ndani ya chama. Nakiona ni kipindi kigumu sana kwake ukilingansha na kipindi cha Mukama.
Wakati ule wa kujivua magamba angalau yalijulikana wazi hayakuzidi matatu au manne, tofauti na idadi ya sasa ya mafisadi yaliyomo ndani ya chama wengine wakiwa ni viongozi wakuu wa chama waliomuachia kiti, kwa maana hiyo akitaka kukisafisa chama ataondoa zaidi ya nusu ya viongozi wa CCM, kitu ambacho kwangu nakiona kama assignment ngumu kuliko ya Mukama.
Kitu kitakacho msaidia Bashiru kubaki salama ni kutoendelea kutekeleza yaliyomo kwenye ripoti yake aliyomkabidhi mkiti wake juzi vinginevyo akijifanya amekuja kusafisha mafisadi atasafishwa yeye kama alivyosafishwa Dr. Mukama.
Ni hayo tu kwa leo ila muda ni mwalimu mzuri sana huwa hadanganyi, let's wait and see.