Uchaguzi 2020 Hii ndiyo siri wabunge wa CCM kumsifu Rais Magufuli

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,393
3,234
Unakuta jimbo lako watia nia ndani ya chama wapo zaidi ya 17, halafu kwa utaratibu mpya Kamati kuu inatakiwa kuteua majina matatu tu ndiyo yakapigiwe kura za maoni. Na Magufuli ndiye Mwenyekiti wa chama na kamati kuu.

Hivi katika mazingira hayo hata mngekuwa nyie mngefanya nini?

Hebu basi tujaribu kuwa waelewa basi, tunapoona watu wanasifu mpaka wanakufuru wanamwita JPM Mungu tuwavumilie hali ni mbaya huko ndani.

Kilichopo ni ama uteuliwe ugombee na usipoteuliwa kugombea nafasi ya kuteuliwa uDC na uRC nazo ni finyu list ni ndefu sana.

Hivyo kadri unavyofanya bidii kusifu ndiyo odds za kuula zinaongezeka
 
ccm kweli imeamua kubadilika,
huu utaratibu ni nzuri kwa kupata wabunge na mawaziri makini.mfano ndani ya miaka 5 magufuli ametumbua mawazir kibao kutokana mfumo uliokuwako,ila kwa utaratibu huu hata rushwa haitakuwepo,kwa sababu waweza toa halafu jina lako lisirudi
 
Unakuta jimbo lako watia nia ndani ya chama wapo zaidi ya 17, halafu kwa utaratibu mpya Kamati kuu inatakiwa kuteua majina matatu tu ndiyo yakapigiwe kura za maoni. Na Magufuli ndiye Mwenyekiti wa chama na kamati kuu.

Hivi katika mazingira hayo hata mngekuwa nyie mngefanya nini?

Hebu basi tujaribu kuwa waelewa basi, tunapoona watu wanasifu mpaka wanakufuru wanamwita JPM Mungu tuwavumilie hali ni mbaya huko ndani.

Kilichopo ni ama uteuliwe ugombee na usipoteuliwa kugombea nafasi ya kuteuliwa uDC na uRC nazo ni finyu list ni ndefu sana.

Hivyo kadri unavyofanya bidii kusifu ndiyo odds za kuula zinaongezeka
THE OBVIOUS
 
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.

Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
 
Naona umerudi baada ya kukupatia nondo kwenye ule uzi uliopita? Muuaji wewe.
 
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Pale kwako Mzee wa kuchora mawe unadhani bila Mwenyekiti kuingilia utamuweza Mkumbo?
 
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Hata kama kafanya kazi nzuri ndio mumfananishe na Yesu!
We ni wakupuuzwa
 
Back
Top Bottom