Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,603
Nimeona uzi wa mdau mmoja Upepo wa Pesa nadhani akilalamika ni kwanini nala wawekeze USD 5 Million in Kenya wakati kampuni imeasisiwa na mtanzania?
Mods nawaomba msiunganishe huu uzi kwasababu nataka uwe na discussion tofauti.
Kuna kitu kwa wachumi na pia kwenye uwekezaji huwa tunakiita 'Follow the money' or 'Cash is King'.
Ukiangalia data au takwimu za 'Remittance flows baina ya Tanzania na Kenya utagundua kwamba wakenya wametuzidi pakubwa sana, wakati wakenya sasahivi wanapokea karibu USD 4 Billions kutoka nje kama remittances, Tanzania tupo kwenye USD 500 million na trend yetu inashuka.
So it is simple, maana yake unaweka biashara yako pale kwenye fursa, na ningemshangaa sana kama huyu mtu angeweka HQ Tanzania na akaiacha Kenya wakati data zinakuambia kabisa, kwamba fursa ipo Kenya.
Sasa swali la kujiuliza linatakiwa lisiwe kwamba ni kwanini aweke HQ Kenya na sio TZ, swali linatakiwa kuwa 'NI KWANINI REMITTANCE INFLOWS IN KENYA NI KUBWA KULIKO TANZANIA'.
Ukichambua sana utarudi kule kule kwa watetezi wa Kiswahili na wanaobeza Kiingereza.
Huwa nazungumza hili swala siku nyingi sana 'Kiswahili hakivuki maji' shauri yenu.
Ingekuwa hawa vijana wanamaliza form four wangekuwa wanajua kutema ungenge, ungewakuta wapo majuu huko wanakomaa na maisha na remittance flow ingekuwa kubwa, na hiyo ingepelekea watumiaji wa NALA kuwa wengi wenye asili ya Tanzania, na hiyo ingepelekea mmiliki wa Nala kuona haja ya kuwa na HQ hapa na sio Kenya.
Halafu kuna issues za regulations, Tanzania tuna sera kandamizi sana kwenye issue nzima ya uhuru wa kufanya miamala kutoka na kuingia ndani ya nchi, sheria zimekuwa mwiba mkali sana. Angalia sheria yetu ya anti money laundering, haipo friendly kabisa ku facilitate miamala ya kifedha kuingia ndani.
Pia mazingira ya biashara Tanzania bado sio mazuri, ukilinganisha na nchi kama Kenya.
Kwahiyo bado Tanzania ni nchi ambayo ni ipo kwenye high risk category ikiwa unataka kuweka uwekezaji wako hapa.
It goes like that.
Kiswahili hakivuki maji
N.Mushi