Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,246
- 34,196
Kwa ambao hamjui NALA ni kampuni ya Tanzania inayo jihusisha na huduma za fedha.
Siku chache zilizo pita mkuu wa kampuni hiyo ametangaza kujenga makao makuu ya kampuni hiyo nchini Kenya na kuwekeza dola milioni 5 nchini Kenya!
Swali la kujiuliza...
Je nini kimesababisha makao makuu ya hii kampuni ya kitanzania kujengwa Kenya na sio Tz? Au Tz hakuna eneo la kujenga?
Je ni nini wajibu wa serikali katika kulinda makampuni yetu?
Janja janja kila kona nimekumbuka figisu alizo chezewa Elion Musk na kampuni yake ya intaneti.
NB: Mchawi wa Maendeleo ya Tanzania ni serikali ya CCM.