Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh John Heche amesema kama Bodaboda ni Ajira tena iliyo nzuri basi tunawataka Ridhiwani Kikwete na January Makamba wawe Bodaboda
Heche amesema Chadema itaendelea...
Niwasalimu tena kwa jina la Jamhuri ya Muungano. "Kazi iendelee😅😅 (japo kuwa hamna kazi..)
Nimekaa na kuwaza hivi siasa ingekuwa mpira wa miguu; CCM hutumia mfumo gani na Chadema mfumo gani...
Hotuba za Hayati Rais Magufuli zilifuatiliwa na mamilioni ya watu kote duniani, pia wakati wake sekta ya utalii ilipanuka na kukua kiasi cha kuvuta mamilioni ya watu maarufu duniani kuja...
Leo tumehitimisha rasmi mbio za urais Mwaka 2025, wote kwa pamoja tumempitisha Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea pekee wa kiti cha Urais.
Mwaka 2030 ni muda mwafaka wa Wakristo kuongoza...
Katika hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye kongamano la siku ya wanawake duniani ambalo limefanyika Moshi, Kilimanjaro na kuandalia na wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) amesema hakuna ambaye anakataa...
Kabla sijazungumzia chochote tengeneza picha ya beberu (mbuzi dume) kichwani. Fikiria anapewa pumba, majani ya kutosha na mwishowe maji ila mwisho wa siku nini? kisu shingoni.
Hili tukio...
Imenilazimu nilete mada fupi hapa, kuhusu hili swali ambalo limenitatiza, tokea nilipoona limeandikwa magazetini.
Mimi siyo mtaalam wa haya mambo, kwa hiyo nategemea kupata mchango mahsusi toka...
Nataka kujua cheti cha mfamasia kinaruhusiwa kubandikwa kwenye pharmacy ngapi ndani ya wilaya anakoishi? Maana kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja basi haina maana kabisa...
The G20 Foreign Ministers meeting held here on Thursday was a resounding success with the outcome document reflecting the concern of the developing countries and the global south and the global...
Hello!
Wajanja wamekwapua chakula kilichotolewa na Serikali Kwa Ajili ya kukabiliana na njaa Mkoani Manyara..
Wakizunguza kwenye Mkutano wa Hadhara mbele ya Katibu Mkuu Chongolo,Wananchi...
Katika maazimisho ya siku ya wanawake duniani, Rais Samia amesema hakuna anayekataa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema Mbowe anataka akisema leo, kesho suala litendeke.
Rais ameyasema hayo kwenye...
Anaandika Mo Mlimwengu
Paukwa!
Paukw !
Watoto wangu eeh eeh,
Mimi mama yenu eeh
Fujo siyo nzuri eeh,
Ilimuua babu eeh
Na ikamuua bibi eeh
Sasa wote njooni kwangu.
Ile ndoto aliyokuwa nayo...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Ndg Tundu Lissu amesema, chama hakijapokea ruzuku yeyote toka serikalini na kama kuna mtu ana ushahidi kuwa wamepokea basi auonyeshe, kaongeza kusema, fedha za...
Makamanda wa CHADEMA zamani walikuwa wakiwatukana sana Lipumba na Mrema, wakamtukana sana Zitto. Leo tunauliza kiko wapi?
Siasa na njaa havikai pamoja. Matusi mliyowatukana hawa wazee muwaombe...
Kwa mtazamo wangu ili kumuwezesha kufanya maamuzi akiwa na fikra huru wampunguzie access au kumuweka mbali na mitandao ya kijamii.
Lisipofanyika hilo utendaji wake utaathirika pakubwa kwani...
Huko majukwaani tunasikia mengi, lakini mengine nadhani yanafanywa kwa makusudi ya kutafuta kura. Inawezekana ikawa ndio maana halisi ya kampeni kwa tafsiri yetu ya Kibongo tu.
Ukimsikiliza...
Hili ni swali ninalolipeleka kwa WanaJF na Mamlaka za Nchi yangu ya Tanzania na ninaomba lijibiwe haraka kabla ya maswali mengine kuja.
Kwamba inatokea raia anaapishwa kuwa mbunge, lakini baadaye...
Bado wanauswahiba na zito na bado Halima Mdee ananguvu kisiasa hasa kwa upande wa kina mama hapa nchini hususani Kawe.
Yeye na kundi lake wakiibukia wazalendo na wakamomaa wanaweza kuwa chama...
Mbowe akitolea mfano chama cha ANC kinaweza kumng'oa kiongozi hata kama tayari yuko Ikulu, ameitaka CCM pia iwe na mfumo huo akilalamikia tabu ambazo wapinzani wamepitishwa miaka michache...
Kuna waungwana humu kwa dhati kabisa walithubutu kusema baada ya Mawakili wa CHADEMA kufunga kuwahoji maswali akina Halima et al kuwa kesho wanasamehewa na kuendelea kuwa ndani ya Bunge.
Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.