Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Regine Hess ambapo wamejadili namna bora ya kuendeleza...
Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game👇🏾
Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa AI:
Hi
Jina langu ni Amna Ghanem.
Mimi ni msimamizi (supervisor) wa...
Kwa Bunge hili wamekuwepo wabunge wa CCM waliojaribu kuongea ukweli ktk Bunge lisilo na upinzani. Baadhi yao ni Mipina, Gwajima, Sendeka nk.
Mbunge Christopher Ole Sendeka haonekani Bungeni kwa...
Wana bodi salam
Nyumbani kwetu kigoma. Nimezaliwa na kukulia hapo kabla ya kuanza kusafiri kwenda nje ya mkoa wa Kigoma.
Kigoma ni mkoa ulio jirani na nchi za Rwanda na Burundi. Kwa nilivyo...
Baada ya kufanya utafiti mdogo imebainika kuwa wengi wa wapiga kelele kuhusu bandari ni wale walio zoea kupitisha mizigo kimagendo yaani kupitisha mizigo kwa kukwepa kulipa malipo halali.
Lakini...
Akizungumza katika Mjadala wa Uwajibikaji na Bajeti, Utouh amesema licha Katiba kueleza kuwa Mihimili 3 (Serikali, Bunge na Mahakama) iko sawa, kiuhailisia haiko hivyo na hali hiyo imedhoofisha...
Akizungumza na Waandishi wa Habari , Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amewataka Raia waliokusudia kuandamana kupinga Mkataba wa Tanzania na DPWorld waache mara moja akisema huu sio muda wa...
Hivi mama gani mwenye akili na uchungu wa Mali za familia anaweza akazigawa Mali za familia yake kwa majirani halafu awaambie watoto wake wasubiri mali hizo zikisha wanufaisha majirani na wao...
Natafakari tu, kuhusiana na hoja ya Mh. Ally Kessy kuwa Wabunge kutoka Zanzibar wasishiriki shughuli za Bunge pale yanapozungumzwa mambo yasiyo ya Muungano kama vile kilimo, utalii, afya n.k ...
Balozi Polepole anesema Wahuni ni Watu wa hovyo sana
Polepole ambaye kwa sasa ni mwakilishi wa Rais Samia nchini Cuba alikuwa anahojiwa na East Africa Radio
Jumaa kareem!
Rais Samia amesema anasubiria ripoti ya Timu aliyoiunda Kupitia mashirika ya Umma yanayoripoti Kwa Msajili wa Hazina Ili juyafutilia mbali Yale ambayo hayana Tija Wala faida. Amesema Mashirika...
Moja ya wajibu mkubwa wa serikali ni kulinda na kudumisha usalama wa nchi. Usalama wa nchi huchangiwa kwa kiasi kikubwa na usalama wa chakula (upatikanaji wa chakula kwa bei inayohimilika)...
Vipo vitu Nchi hii ukivifikiria hakika unaona wazi vinaaksi ujinga wetu na kwayo ndiposa Viongozi wetu huwa wanautumia uzwazwa wetu kutupiga.
Mfano hilo la gesi ya Mtwara, kwa mjibu wa Hayati...
Leo Juni 19, 2023, Taasisi ya The Chanzo imeandaa tukio lilipewa jina la #TheChanzoSpecials, ambapo kunatarajiwa kuwa na mijadala mbalimbali itakayowakutanisha Wadau tofautitofauti.
Tukio hili...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla ya NMB kukabidhi Gawio kwa Serikali na kusherekea Miaka 25 ya Safari ya Mafanikio ya Benki ya NMB katika Ukumbi wa...
Wabunge Anna Kilango na Christopher Ole Sendeka wamejipambanua dhahiri kwamba wataongoza wabunge kuishinikiza Serikali kuwachukulia hatua wote waliotajwa ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022...
Boss ashampooo mtoto wa mjini basi nikiwa mwaka mwisho pale BOT kwa pembeni chuo cha IFM ndio kipindi Magufuli nae alikuwa anaingia madarakani toka akiwa waziri nilitamani aje kuwa raisi na ndoto...
Maamuzi ya kuwa na mitihani ya usaili kwa walimu iliyotungwa, kusimamiwa na kusahihishwa na NECTA (Baraza la Mitihani) ni jambo linaloweza kuwa na faida nyingi kwa mfumo wa elimu. NECTA tayari...
Maana yake nini?
Kama nchi iko kwenye muungano na nchi nyingine, inaweza kudai kuwa na "mamlaka kamili" bila kuathiri muunganio huo?
Maalim, mgombea urais wa Zanzibar anapodai kuwa na mamlaka...
Dk Tulia Ackson ni miongoni wa wabunge waliowasilisha maombi ya kugawa majimbo yao ili kuwa mawili kutokana na ukubwa na wingi wa watu.
Taarifa hiyo ilitolewa bungeni na Naibu Waziri, Ofisi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.