Anna Kilango, Ole Sendeka mmeonyesha njia msirudi nyuma

Stuka

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
214
686
Wabunge Anna Kilango na Christopher Ole Sendeka wamejipambanua dhahiri kwamba wataongoza wabunge kuishinikiza Serikali kuwachukulia hatua wote waliotajwa ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022 iliyowasilishwa bungeni wiki hii.

Tunatambua uwezo wa Kilango na Sendeka hasa rekodi mziweka kwenye Bunge la Mzee Sitta na Mama Makinda ambapo mawaziri waliokuwa wanakumbwa na kashfa mlihakikisha wanafutwa kazi wote.

Sasa muwasaidia wabunge wapya akina Sanga, Tabasamu, Babu Tale, Gambo, Mnyeti, Mariam Ditopile, Venant ili muunganishe nguvu Bunge hili la Bajeti muhakikishe mawaziri wote waliotajwa wanaondoka ofisini na kuwafikisha mahakamani.
 
Yaani mpaka sasa hakuna taarifa za yeyote kuachia ofisi.
 
Walimsulubisha Lowasa hatasahau
Watu hatari sana
 
Wabunge Anna Kilango na Christopher Ole Sendeka wamejipambanua dhahiri kwamba wataongoza wabunge kuishinikiza Serikali kuwachukulia hatua wote waliotajwa ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022 iliyowasilishwa bungeni wiki hii.
Ole Sendeka na Anna wanaweza namkumbuka Anna mwaka 2008 alipokaba penalt ya Monduli
 
Kwa kuzingatia namna walivyopatikana, sioni mbunge wa "kufoka". HAKUNA!!!!
 
Hamjazoea makelele tu ambayo mwisho wa siku hakuna hatua inayochukuliwa

Ova
 
Wabunge Anna Kilango na Christopher Ole Sendeka wamejipambanua dhahiri kwamba wataongoza wabunge kuishinikiza Serikali kuwachukulia hatua wote waliotajwa ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022 iliyowasilishwa bungeni wiki hii.

Tunatambua uwezo wa Kilango na Sendeka hasa rekodi mziweka kwenye Bunge la Mzee Sitta na Mama Makinda ambapo mawaziri waliokuwa wanakumbwa na kashfa mlihakikisha wanafutwa kazi wote.

Sasa muwasaidia wabunge wapya akina Sanga, Tabasamu, Babu Tale, Gambo, Mnyeti, Mariam Ditopile, Venant ili muunganishe nguvu Bunge hili la Bajeti muhakikishe mawaziri wote waliotajwa wanaondoka ofisini na kuwafikisha mahakamani.
Serikali ni pamoja na raisi kwa nin washinikize kwani saa 100 haoni yeye mpaka ashinikizww
 
Wabunge Anna Kilango na Christopher Ole Sendeka wamejipambanua dhahiri kwamba wataongoza wabunge kuishinikiza Serikali kuwachukulia hatua wote waliotajwa ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022 iliyowasilishwa bungeni wiki hii.

Tunatambua uwezo wa Kilango na Sendeka hasa rekodi mziweka kwenye Bunge la Mzee Sitta na Mama Makinda ambapo mawaziri waliokuwa wanakumbwa na kashfa mlihakikisha wanafutwa kazi wote.

Sasa muwasaidia wabunge wapya akina Sanga, Tabasamu, Babu Tale, Gambo, Mnyeti, Mariam Ditopile, Venant ili muunganishe nguvu Bunge hili la Bajeti muhakikishe mawaziri wote waliotajwa wanaondoka ofisini na kuwafikisha mahakamani.
Weka kigingi niweke ugoko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom