MJADALA wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) unaoendelea baada ya kuwasilishwa kwake bungeni Dodoma wiki hii, umeacha nje jambo moja – nafasi na umuhimu wa Rais Samia...
Lengo la serikali kuwekeza katika mkundombinu iliyotuletea huduma ya mabasi ya mwendokasi ni kupunguza usumbufu utokanao.na foleni kubwa za magari wakati wa kuingia na kutoka mijini. Hasa nyakati...
Je hatuwezi vinafisisha taasisi ya kudili na Ufisadi? Make kwa ilivyo sasa ni kanya boya tu.
Kutegemea TAKUKURU kwenye kudili na ufisadi ni kuhadaaa umma, TAKUKURU ni wapigaji wakuu sana na pia...
Wote tunajua nguvu aliyonayo huyu jamaa wa Tanga former DGIS katika uongozi wa Nchi kwa sasa. Hata huyu bwana aliyewekwa toka Kigoma kawekwa na hao hao wenye nguvu. Ummy Mwalimu anatumia sana...
Habari za leo ndugu wakuu! Nawasalimu kwa jina la JMT. Baada ya salamu naomba niingie kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Nafahamu wengi wenu hampendi kusoma habari ndefu...
Miaka kadhaa imepita baada ya Tanzania kushuhudia vifo vilivyotokana na usanii wa "Babu wa Loliondo".
Hivi karibuni kule micheweni Zanzibar palizuka uzushi mwingine wa uwepo wa maji yanayotoka...
Salaam wana Jamvi,naomba kuelimishwa ju ya yanayoendelea kila mwaka kuhusu upotevu wa pesa za umma kwenye kila ripot ya CAG.
Kwa kumbukumbu nilizonazo sikumbuki kama kuna mtu amewahi chukuliwa...
Kila siku nawaambia, Rais Samia, hafai kua Rais, Nchi hii inahitaji mtu anayejitoa Maisha yake Kwa ajili ya kupigania Taifa lake Kama alivyofanya Hayati John Joseph Pombe Magufuli !! ... Hivi Kwa...
Naomba muupokee huu Ujumbe wa Dr Slaa kama ndio salamu za Pasaka
Mbowe na wenzake kupitia Serikali ya JMT wanatengeneza Katiba Mpya ya Wanasiasa
Katiba Mpya ya Wananchi itatengenezwa na...
Kuna vitu vya aibu kuvifanya hata kama utafanya faragha, hivyo hivyo hata kuwa mfuasi wa jamii primitive unajisikiaje?
Hiki ni kiwango cha juu kabisa cha ujinga kwa hao walio chini na huyo wa juu.
Kama kuna idara au taasisi au mtu binafsi mwenye Orodha tajwa hapo juu aiweke hapa tafadhali.
Kukosekana kwake kutaonyesha ni jinsi gani serikali haina database ya watumishi hapo na ni moja ya...
Kuwakamata mafisadi, wabadhilifu wa fedha za umma, na wala rushwa ni muhimu katika kupambana na ufisadi na kuhakikisha kuwa fedha za umma zinatumika kwa manufaa ya wananchi. Kuna mbinu kadhaa za...
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha mashirika ya serikali kuingia hasara na kushindwa kutoa gawio kwa serikali. Baadhi ya sababu hizo ni:
1. Uongozi mbaya: Mashirika ya serikali yanaweza...
September 2020, Emmanuel Polycup Mlelwa ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Iringa, alitekwa, aliteswa, aliuwawa, na mwili wake ulienda kutupwa katika eneo la bwawa la Kibena huko Njombe...
Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.
Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema hakuna hata sehemu Moja iliyoandikwa Ukitaka kumkosoa Rais au Serikali mkosoe kwa Staha, hizi lugha tamu tamu hizi ni ndoana na anataka tusimseme...
Wadau nawasalimu.
Baada ya kusikia na kusoma Taarifa ya CAG juu ya Ushauri wa CAG kuwa Jaji Biswalo ACHUNGUZWE kuhusiana na PLEA BARGAINING nimekuwa napata KIGUGUMIZI kuwa, je ANACHUNGUZIKA?
Salute,
Tangu raisi Samia aingie madarakani katika awamu yake ya sita, baada ya hayati Magufuli kuwa ametangulia mbele ya haki, ni kiongozi gani au mtumishi gani amewahi kuwajibishwa kwa ufisadi...
Watu makini na wenye akili ndani ya chama cha ACT Wazalendo wameguduka na kuanza kumkemea kiongozi wao mkuu Zito Kabwe kwa unafiki na undumilakuwili wake, baada ya kushindwa kabisa kukosoa utawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.