Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,183
- 2,100
Akizungumza na Waandishi wa Habari , Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amewataka Raia waliokusudia kuandamana kupinga Mkataba wa Tanzania na DPWorld waache mara moja akisema huu sio muda wa Maandamano
Amesema, "Kwa ujumla tumeelekeza huu sio muda wa maandamano hata kidogo, jambo hili kwa Mtu anayetaka kulifahamu kuna njia sahihi la kulifahamu, maandamano yanasitisha biashara na watu kupata huduma za haraka za Hospitali, kwa mantiki
hiyo Vijana wote ambao wamekusudia kufanya haya basi waache mara moja
Mapema wiki hii Mwanaharakati wa Haki za Binadamu, Deusdedith Soka aliitisha maandamano ya Amani kupekea Ikulu ya Magogoni kwa lengo la kupinga mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na DP World
Chanzo: Millard Ayo