Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hapa tulipo kwa nchi ilipopitia enzi za mwenda zake jamaa amepambana sana kuinua uchumi na kujenga mahusiano na mataifa ya nje na wadau mbalimbali wa maendeleo, uwekezaji umekua hakuna TRA kutumia...
2 Reactions
15 Replies
837 Views
Nimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi...
13 Reactions
152 Replies
10K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Edward Mjema kuanzia Jana Alhamisi Aprili 06, 2023 ametoa futari kwa watu na makundi mbalimbali kwenye Jamii kwenye mwendelezo...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimejaribu kusoma ripoti ya CAG 21/22 kwenye upande wa mashirika ya umma kwa sehemu tu, Watanzania wenzangu hali ni mbaya sana, pesa nyingi sana zinapotea. Nimeshangaa kuona baadhi ya mashirika...
1 Reactions
1 Replies
319 Views
Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini kuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa mashitaka (DPP), Biswalo Mganga na maafisa wake walikiuka taratibu za mchakato wa...
8 Reactions
53 Replies
5K Views
Nitolee mfano Morogoro referral hospital, utendaji wa madaktari na wauguzi ni mbovu sana. Rushwa, neglegence, wizi wa dawa, impolite languages za wauguzi na baadhi ya madaktari, yaani vurugu tupu...
3 Reactions
6 Replies
736 Views
Wanabodi, Utangulizi Katika chaguzi zote zilizopita tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi nchini, hakuna uchaguzi mwingine wowote uliokuwa na upinzani mkubwa kama uchaguzi uliopita wa ,wala 2015...
20 Reactions
165 Replies
27K Views
Ripoti ya CAG inaongelea ufisadi na wizi wa mali za umma pamoja na hasara za mashirika kama ATCL au TTCL kwa ujumla wake. Inaonyesha ufisadi umefanyika katika shirika au ofisi fulani tu bila...
11 Reactions
61 Replies
4K Views
Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Harry Kitillya, Shose Sinare, Sioi Solomon, Bedason Shallanda na Alfred Misana wamekiri makosa na wametakiwa kulipa TZS 1.5 bilioni kama fidia...
6 Reactions
129 Replies
17K Views
Yaani mpaka mwadawa mtoto wa hayati Bob analia kuhusu ufisadi lkn uvccm wala hawana habari!!
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Miongoni mwa watu walioteuliwa leo na Rais Samia Suluhu kuwa majaji wa mahakama kuu, jina la DPP Biswalo Maganga lipo pia. Hili jambo limetushtua sana wadau wa mambo ya sheria, kuna kitu...
26 Reactions
113 Replies
15K Views
Mapendekezo mahususi kwa nchi yetu Tanzania 1. 2025 Ili mtu agombee ubunge awe na Elimu ya Shahada ya Pili (masters degree)kwenye ubobezi wwte ule. 2. Wakuu wa idara wote kuanzia Kata sifa iwe...
5 Reactions
52 Replies
2K Views
Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo", asema "Ni maamuzi mabovu kabisa haya" Chanzo: Jambo TV
10 Reactions
56 Replies
4K Views
Tunaweza kuwa tunamlaumu naniliu kwa kununua ndege kwa Fedha taslimu kumbe alikuwa sahihi Hii janjajanja ya kuongeza Bei isingejitokeza Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Nawatakia Pasaka Njema!
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Watu wenye kutupia mavazi ma scarf na viwalo kujinadi uzalendo kama hivi: Ni wa kuogopa kuliko ukoma. Nyerere (rip) asinge wastahi majizi yote yajifichayo kwa kutanguliza dhana ya uzalendo...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Nashauri CAG awe anakuja na TOTAL ya fedha yote iliyopotea kwa mwaka husika!Lengo ni kutaka kujua angalau Serikali iweze kuona ukubwa wa Tatizo husika! Nawasilisha kwako CAG. Sent from my...
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Kwa wasiomfahamu vizuri mh Ezekiel Wenje ni kwamba: Wenje ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Ziwa Wenje ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Wenje ni Mbunge wa zamani wa Nyamagana Wenje ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naona jukwaa limepoa sana jioni hii ya leo. Tundu Lissu alikuwa anapasuka sana pale mjengoni dhidi ya dhuluma na wizi wa mali za umma, hakuanza leo wala jana. Msikilizeni anavyo wakemea...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
CAG katoa ubadhirifu na upotevu wa mabilion ya shiling, lkn sijaona ni kiasi gani kwa ujumla kimepotea ambacho kama kingekusanywa kingerumika kulipia miradi mbalimbali ya serialli. Mwenye kujua...
0 Reactions
2 Replies
388 Views
TAMISEMI ni wizara kubwa sana yenyewe tu ni serikali inayojitegemea, waziri ninayemwona kuifaa ni Ummy Mwalimu. Huyu mama yuko makini hacheki makima yaliyojaa halmashauri. Mwingine profesa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom