Tunaweza kuwa tunamlaumu naniliu kwa kununua ndege kwa Fedha taslimu kumbe alikuwa sahihi
Hii janjajanja ya kuongeza Bei isingejitokeza
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Nawatakia Pasaka Njema!
Watu wenye kutupia mavazi ma scarf na viwalo kujinadi uzalendo kama hivi:
Ni wa kuogopa kuliko ukoma. Nyerere (rip) asinge wastahi majizi yote yajifichayo kwa kutanguliza dhana ya uzalendo...
Nashauri CAG awe anakuja na TOTAL ya fedha yote iliyopotea kwa mwaka husika!Lengo ni kutaka kujua angalau Serikali iweze kuona ukubwa wa Tatizo husika!
Nawasilisha kwako CAG.
Sent from my...
Kwa wasiomfahamu vizuri mh Ezekiel Wenje ni kwamba:
Wenje ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Ziwa
Wenje ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema
Wenje ni Mbunge wa zamani wa Nyamagana
Wenje ni...
Naona jukwaa limepoa sana jioni hii ya leo.
Tundu Lissu alikuwa anapasuka sana pale mjengoni dhidi ya dhuluma na wizi wa mali za umma, hakuanza leo wala jana.
Msikilizeni anavyo wakemea...
CAG katoa ubadhirifu na upotevu wa mabilion ya shiling, lkn sijaona ni kiasi gani kwa ujumla kimepotea ambacho kama kingekusanywa kingerumika kulipia miradi mbalimbali ya serialli.
Mwenye kujua...
TAMISEMI ni wizara kubwa sana yenyewe tu ni serikali inayojitegemea, waziri ninayemwona kuifaa ni Ummy Mwalimu. Huyu mama yuko makini hacheki makima yaliyojaa halmashauri.
Mwingine profesa...
MJADALA wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) unaoendelea baada ya kuwasilishwa kwake bungeni Dodoma wiki hii, umeacha nje jambo moja – nafasi na umuhimu wa Rais Samia...
Lengo la serikali kuwekeza katika mkundombinu iliyotuletea huduma ya mabasi ya mwendokasi ni kupunguza usumbufu utokanao.na foleni kubwa za magari wakati wa kuingia na kutoka mijini. Hasa nyakati...
Je hatuwezi vinafisisha taasisi ya kudili na Ufisadi? Make kwa ilivyo sasa ni kanya boya tu.
Kutegemea TAKUKURU kwenye kudili na ufisadi ni kuhadaaa umma, TAKUKURU ni wapigaji wakuu sana na pia...
Wote tunajua nguvu aliyonayo huyu jamaa wa Tanga former DGIS katika uongozi wa Nchi kwa sasa. Hata huyu bwana aliyewekwa toka Kigoma kawekwa na hao hao wenye nguvu. Ummy Mwalimu anatumia sana...
Habari za leo ndugu wakuu! Nawasalimu kwa jina la JMT. Baada ya salamu naomba niingie kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Nafahamu wengi wenu hampendi kusoma habari ndefu...
Miaka kadhaa imepita baada ya Tanzania kushuhudia vifo vilivyotokana na usanii wa "Babu wa Loliondo".
Hivi karibuni kule micheweni Zanzibar palizuka uzushi mwingine wa uwepo wa maji yanayotoka...
Salaam wana Jamvi,naomba kuelimishwa ju ya yanayoendelea kila mwaka kuhusu upotevu wa pesa za umma kwenye kila ripot ya CAG.
Kwa kumbukumbu nilizonazo sikumbuki kama kuna mtu amewahi chukuliwa...
Kila siku nawaambia, Rais Samia, hafai kua Rais, Nchi hii inahitaji mtu anayejitoa Maisha yake Kwa ajili ya kupigania Taifa lake Kama alivyofanya Hayati John Joseph Pombe Magufuli !! ... Hivi Kwa...
Naomba muupokee huu Ujumbe wa Dr Slaa kama ndio salamu za Pasaka
Mbowe na wenzake kupitia Serikali ya JMT wanatengeneza Katiba Mpya ya Wanasiasa
Katiba Mpya ya Wananchi itatengenezwa na...
Kuna vitu vya aibu kuvifanya hata kama utafanya faragha, hivyo hivyo hata kuwa mfuasi wa jamii primitive unajisikiaje?
Hiki ni kiwango cha juu kabisa cha ujinga kwa hao walio chini na huyo wa juu.
Kama kuna idara au taasisi au mtu binafsi mwenye Orodha tajwa hapo juu aiweke hapa tafadhali.
Kukosekana kwake kutaonyesha ni jinsi gani serikali haina database ya watumishi hapo na ni moja ya...
Kuwakamata mafisadi, wabadhilifu wa fedha za umma, na wala rushwa ni muhimu katika kupambana na ufisadi na kuhakikisha kuwa fedha za umma zinatumika kwa manufaa ya wananchi. Kuna mbinu kadhaa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.