Taifa kuchagua mnyama fulani kama Nembo ya Taifa kuna madhara yake! Taifa hilo litabeba kwa kiasi fulani tabia za huyo mnyama/ndege.
Tanzania mnyama wetu ni Twiga, nimefuatilia baadhi ya tabia...
Mbunge wa Sengerema mh Tabasamu amesema Wananchi wangejua Bajeti anayotumia CAG kufanya Ukaguzi halafu ripoti yake inapigwa danadana Pasingekalika
Tabasamu amesema kwa mfano CAG akija Sengerema...
Msekwa: Shibuda hamuwezi Kikwete
Na Yusuph Katimba
Majira
17 October 2009
MIZENGWE ya kurudisha nyuma juhudi za Mbunge wa Maswa, John Shibuda kutaka kukamilisha nia yake ya kumng'oa Rais...
Serikali katika Mwaka huu wa Fedha yaani 2022/23 imetoa vibali vya Ajira 30,000. Maelezo hayo yametolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na...
Kama kuna watu walikuwa wanasumbua CHADEMA katika mwonekano wa jamii ni John Shibuda. Huyu bwana alikuwa CCM akatoka na kuingia CHADEMA ili agombee ubunge na CHADEMA ikampitisha na kweli...
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema Rais Magufuli amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais.
Ametoa ombi la kuongezewa muda wa kubaki madarakani kama Rais ili mipango anayoendelea nayo...
Mwanza. Wahandisi 40 kutoka Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wametembelea Daraja la Kigongo-Busisi jijini Mwanza kujifunza masuala mbalimbali ikiwemo teknolojia mpya.
Teknolojia ya...
Narudia tena na tena hatutakuja kupata Marais wanaojua siasa, Uongozi na utawala Kama Rais Hayati Nyerere na mstaafu Kikwete.
Nyerere pamoja na misukosuko yote ya vita ila alisimama na watanzania...
Wadau nawasalimu.
Bunge letu limesema Sakata la Report ya CAG litajadiliwa November kupisha mjadala wa ushoga. Tukumbushane tu Sakata la Richmond, lingesubiri nalo November Mzee aliyejiuzulu...
Elimu ni mojawapo ya nguzo kuu za maendeleo ya taifa lolote lile. Kwa bahati mbaya, mfumo wa elimu wa Tanzania umekuwa ukiathiriwa na changamoto nyingi kwa muda mrefu sasa.
Wengi wanaamini kuwa...
Vitu vichache vya kipekee vinajionyesha katika bajeti ya Tanzania iliyofanyiwa ukaguzi na CAG. Kwa mfano, kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kwenye miaka ya hivi karibuni, mapato...
Haiwezekani kabisa CAG afanye kazi yake akabidhi wezi wa fedha zetu, alafu tuendelee kupanga bajeti nyingne, ili tuwape fursa wakaibe tena!!?
Nawaomba wote wenye uzalendo wa kweli tuungane pamoja...
468 WAFUTIWA UANACHAMA WA NHIF KWA UDANGANYIFU
Na Mwandishi Wetu
Katika kupambana na udanganyifu unaofanywa na wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wasio waaminifu jumla ya wanachama 468...
Miezi miwili inakatika haiujulikani waziri huyu mchapakazi yuko wapi? Kwenye matukio muimu kama bungeni haonekani, kuanguka kwa ghorofa kunakomhusu ukizingatia bodi zote za ERB, na AQRB ziko chini...
Kama kuna ambao nitawakwaza katika hili nawaombeni Radhi ila nikiwa kama Mzalendo na Mtanzania wa kweli nadhani nami pia nina Wajibu katika Kuwasilisha yale ambayo kiukweli nakumbana nayo 24/7...
"Mimi ni mzee sasa na maneno yangu pengine hudhaniwa ndoto za uzee. Ningetamani mambo mawili, moja la hakika lingine la kufikiriwa. La hakika tuwashawishi watanzania Rais wetu asipate kura ya...
Baada ya uchaguzi mkuu ambao ni moja ya chaguzi mbaya kupata kutokea Tanzania, bunge la Tanzania kupitia wabunge wake wa chama kimoja waliopatikana baada ya uchaguzi kuchafuliwa na tume ya...
Juzi wakati Rais anapokea Report ya CAG, alitamka mambo mengi kwa hasira na jazba sana hadi wengine wanaona hakuwa sahihi.
Kwa cheo alicho nacho na maana ya report ya CAG hakutakiwa kutoa hukumu...
Mubashara:
Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango ameapishwa kuwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; na Jaji mkuu wa Tanzania mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma katika lkulu, Chamwino...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.