Nakusudia kupanga maandamano hadi bungeni kushinikiza Ripoti ya CAG ijadiliwe sasa

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,503
2,046
Haiwezekani kabisa CAG afanye kazi yake akabidhi wezi wa fedha zetu, alafu tuendelee kupanga bajeti nyingne, ili tuwape fursa wakaibe tena!!?

Nawaomba wote wenye uzalendo wa kweli tuungane pamoja tufanye maandamano ya amani ili kuelezea hisia zetu kwa ajili ya kulilazimisha bunge ili lijadili kukamata wezi wote kurejesha fedha za umma na kuzuia uwezekano wa wizi mwingine kutokea.

Tarehe na namna ya kuhusika na haya maandamano vitawekwa wazi kwa ajili ya wazalendo wote.
 
Ilibidi achomoke yeye ... Kwani anashindwa wawajibisha mafisadi..
So achana nayo.. hutafanikiwa.
 
Maandamano ya amani yawe chini ya mwamvuli wa Upinzani CHADEMA + ACT WAZALENDO.

Nitakuwa mstari wa mbele.
 
You must strike while the iron is hot. Nchi yetu inapitia kipindi kigumu. Ripoti za CAG zimekuwa hivyo hivyo kila siku; zinataka watu wakubwa ambapo ukijaribu kuzitekeleza you will have to shut down the government.
Sasa ukisubiri mpaka Novemba sijui utamkamata nani. Hata ikifika Novemba labda atakuwepo mtu amedukuliwa moyo.
Lakini Spika amesema wananchi siyo kosa kuijadili .
 
Back
Top Bottom