Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaam Wakuu, Kwenye hii picha kuna nguo na viatu vya aliyekuwa rais wa Tanzania Hayati John Magufuli. Tutumie picha hii kutafakari Watanzania tulipo, Tulipotoka na tunapoenda? Chemsha bongo...
0 Reactions
4 Replies
586 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuanza ziara kabambe ya Kikazi kwenye Kanda ya Kusini. Katibu wa Kanda hiyo Governor Kaduma amewaambia waandishi wa habari Mjini Masasi...
10 Reactions
49 Replies
4K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, (Mb) ameipongeza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa Kuratibu vyema mashindano mbalimbali yanayofanyika ndani na nje ya...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Juzi kumefanyika Mabadiliko ya Watendaji wa Tume ya Uchaguzi kwa Kumwondoa Bwana Mahera na Kumweka Bwana Kailima kuwa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi. Mabadiliko hayo hayana tija yoyote kwa tume...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Mabingwa wa Afrika wa Mpira wa Miguu kwa Shule za Sekondari ambao ni Shule ya Fountain Gate wakiwa Bungeni jijini Dodoma kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim...
0 Reactions
2 Replies
893 Views
Tangu enzi za wizi wa Tangold na Meremeta, wizi wa fedha za Tegeta - Escrow na hata sasa wizi unaonekana kwenye Ripoti ya CAG, kila hatu ya wizi huo wahusika wakuu huwa ni wasomi wabobevu wa fani...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania, Naomba niende moja kwa moja kueleza kwa kina Mambo yatakayombeba na kumpa ushindi wa kishindo Rais Samia Uchaguzi Ujao. Moja, Rais Samia anakubalika na watanzania wa Rika...
2 Reactions
53 Replies
2K Views
Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile. Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na...
23 Reactions
63 Replies
8K Views
Kama Philip Mpango bado yuko ofisini hadi sasa hivi basi kinacho endelea ni kiini macho tu hakuna kitu hapa.Mama ana hadaaa Umma na inabidi yeye ndio tudili naye, Mama anawalindaafisadi na...
19 Reactions
65 Replies
9K Views
Hawa wote walosomwa na CAG ni asilimia 90 mpaka 95 ni wateule wa Magufuli. Kila ripoti ikitoka hamna kitu bunge linafanya, kwasababu bunge lote ni la chama kimoja ambacho lilitokana na kuiba...
34 Reactions
152 Replies
8K Views
Mungu ni wa ajabu sana na utukufu wake ni wa kutisha sana, kwani hukumu zake ni za haki Ninachokifahamu ni hivi! Mtu akiuwa mtu, maisha yake yote huwa hawezi kupata Amani abadani kwa sababu...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Mpango wa Serikali ni kuwarudisha nchini na wataishi kwenye vituo mahususi vilivyotengwa (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDSM na Kihansi kuanzia Aprili mwaka huu," alisema Chande na kuongeza kuwa...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Hakuna haja ya maneno mengi , Majina yao haya hapa . 1. Prof. John Wajanga Kondoro - Mwenyekiti 2. Masanja Kungu Kadogosa - Katibu 3. Kondo Abdallah Kibugula - Mjumbe 4. Dkt. Jabir Bakari -...
31 Reactions
190 Replies
15K Views
Jamani wana jamii wenzangu samahanini kwa kutokuwepo mtandaone kwa muda kidogo. Hivi ina maana Muungwana haoni kelele zote hizi wanazopigiwa hawa mafisadi.Yule aliyekuwa mkurugenzi BOT na...
0 Reactions
156 Replies
31K Views
Je, Kikatiba, Makamu wa Rais ana uwezo wa kukataza au hata kuamrisha chochote? I mean, ana uwezo wowote wa hire and fire yoyote yule Tanzania? Nauliza kwa maana isije kuwa tunalishwa matango...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
MKATABA WA SHILINGI BILIONI 4.7 KUWAFIKISHIA WANANCHI MAJI SAFI NA SALAMA KATA YA MUGANGO NA TEGERUKA WASAINIWA WIZARA ya Maji imemtaka mkandarasi kampuni ya Kiure Engineering L.T.D. kukamilisha...
0 Reactions
2 Replies
648 Views
Kitu kimoja ambacho Shujaa Magufuli alikuwa nacho ni kuogopa mambo madogo na kuwa jasiri kwenye mambo makubwa na Mazito. Shujaa aliogopa Mikutano ya Huu upinzani Uchwara lakini lilipokuja jambo...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
I have never gotten the logic like this all my life. Ati mwizi mmoja akishikwa anaanza ama mnaanza kusema hata XYZ ni mwizi mbona hajashikwa. We have to start somewhere now! Hizi hela...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwanasiasa wa Tanzania na mbunge wa zamani wa Arusha Mjini anaeishi uhamisho nchini Kanada, Godbles Lema ambaye pia ni makamu wa Rais wa masoko barani Afrika wa kampuni Kanada, Solar ship inc...
9 Reactions
44 Replies
8K Views
KAMPUNI iliyopewa kazi ya kukusanya fedha za kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Push Mobile Media Limited – inahusishwa na watuhumiwa wa ufisadi nchini, MwanaHALISI limegundua. Kwa mujibu wa...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Back
Top Bottom