Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza...
Huo ndio ukweli, ndani ya miaka 60 hatujawahi kutoka nje ya fikra za Mwalimu Nyerere kiuhalisia.
Wale waliokuwa wanaimba "Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM," ndio hao watoto wao wanatuongoza leo...
Kipanya umetisha sana
Ni ukweli ulio wazi mafisadi na baadhi ya Viongozi wetu wanamchukia sana CAG baada ya kuwaumbua katika ripoti yake
CAG aongezewe ulinzi
Pia soma > Nani anayekagua na...
Nategemea na hata Sikukuu ya Idi (ya Wiki Mbili zijazo) na ile ya Krismasi bila kuisahau ile ya Idi al Haji na zenyewe pia Rais Samia ataendeleza huu Utamaduni aliouanzisha leo wenye kutuachia...
Kesho Chadema wanaanza Mikutano yao Kusini mwa Tanzania kwenye Ngome ya CUF na ACT Wazalendo.
Chadema wanaingia kwenye Mikutano wakiwa na Hati Safi kutoka kwa CAG tofauti na wenye Ngome yao ACT...
Hisia zangu kwa sasa ni kwamba!
Tumekuwa nchi yenye viongozi wanaotamani waishi kama maisha ya kama wako peponi na kuwadharau kabisa wanaowafanya wafikie hatua ya kuishi hivyo, watu has ni...
Kituo cha Uwekezaji kimesema kimesajili miradi 93 yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 1.2 sawa na Sh trilioni 2.814 za Tanzania katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka huu wa fedha...
Wajinga wacha tukamuliwe kuendesha offisi mbili ndani ya nchi 1. na wana furahia sana hali hio kwa sababu hawatoi pesa mifukoni mwao kuendesha offisi mbili.
Ukweli ni kwamba gharama za kuendsha...
Ndugu zangu Watanzania natumai hamjambo wote!
Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa niaba yangu na yenu mlio hai, wagonjwa na hata walio tangulia mbele ya haki usiku wa leo hata jana!
Ndugu zangu...
Ni kituo cha mabasi cha mawasiliano. Wako maaskari wengi lango wa kuingilia, kila gari linaloingia linasimamishwa na kuchukua hela kwa konda. Bahati nzuri nikashuhudia askari wa kike akipokea...
Ninamuomba mwenyezi Mungu muumba wa ardhi na mbingu kama kuna mtu anaongoza jamii na watanzania kwa ujumla bila uhalali wa wananchi basi atende maajabu asiione 2025 na wala asishiriki uchaguzi...
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 15.99 kwa ajili ya mfuko wa jimbo kwa majimbo 214 ya Tanzania Bara katika Mwaka wa Fedha wa...
Hii nchi ina matumizi ya anasa sana, kwamba ni lazima hawa jamaa wasafiri kote huko kutoka Kona za Tanzania kwenda Dodoma kushuhudia bajeti ya Tamisemi ikisomwa?
Sina kumbukumbu kama hu...
Nimesikiliza maoni ya watu wakiwemo watazamaji wa ITV kwenye kipindi cha Kipima joto jana ambapo wengi wameelezea kuwa tatizo la undugunaizesheni ndani ya serikali ndio chimbuko la wizi na...
Audit Process
Step 1: Planning
The auditor will review prior audits in your area and professional literature. The auditor will also research applicable policies and statutes and prepare a basic...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amesema Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu imezingatia vipaombele muhimu katika maeneo yote...
Habari kutokea Kahama zinasema Dr. Mpango yupo wilayani humo tokea juzi.
Uwepo wake umekuja na adha itakayobakia mioyoni mwa wakazi wa huko Kwa muda mrefu.
Taarifa zinasema jana barabara zote za...
Spika wa Bunge Dr Tulia amesema Wajumbe wa Kamati za Bunge ambao sekta wanazosimamia ziliripotiwa kuwa na mapungufu na CAG mwaka jana wanapaswa kuwa walishaenda kufanya ukaguzi na Majibu wanayo...
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amesema wale wote Waliohusika na Ubadhirifu na kutajwa kwenye Ripoti ya CAG Watachukuliwa hatua kali sana.
Source: Swahili Times
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.