Miezi miwili inakatika haiujulikani waziri huyu mchapakazi yuko wapi? Kwenye matukio muimu kama bungeni haonekani, kuanguka kwa ghorofa kunakomhusu ukizingatia bodi zote za ERB, na AQRB ziko chini yake.
Ni vema tuakelezwa kilichomsibu waziri huyu kwa kupotea ghafla kwenye anga za siasa, na hadharani, je anaumwa? Yuko likizo? Hapendezwi na mambo yanavyokwenda?
Naomba wasaidizi wake watujibu
nawasilisha
Ni vema tuakelezwa kilichomsibu waziri huyu kwa kupotea ghafla kwenye anga za siasa, na hadharani, je anaumwa? Yuko likizo? Hapendezwi na mambo yanavyokwenda?
Naomba wasaidizi wake watujibu
nawasilisha