Upekee wa bajeti ya kwanza ya serikali ya rais Samia mwaka 2021/2022 iliyokaguliwa na CAG

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,503
2,980
Vitu vichache vya kipekee vinajionyesha katika bajeti ya Tanzania iliyofanyiwa ukaguzi na CAG. Kwa mfano, kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kwenye miaka ya hivi karibuni, mapato yaliyopatikana yalizidi makadirio ya bajeti.

Kwenye vitabu vyake, CAG ameonesha kwamba ingawa serikali ilipanga kukusanya kiasi cha shilingi trilioni 36.681 lakini ikakusanya shilingi trilioni 37.992 – ongezeko la asilimia 4 kulinganisha na matarajio.

Katika hali ya kawaida, kutokana na ukosefu wa usimamizi uliojionyesha huko nyuma, ongezeko hili la mapato lingezua changamoto na huenda lingepotea. Lakini kilichotokea ni tofauti. Fedha zote zilizokusanywa na serikali zimepelekwa kwenye Mfuko Mkuu (Consolidated Fund) na kiasi kilekile kilichokusanywa ndicho hicho kimekwenda Serikalini.

Kwa mfano, jedwali la CAG linaonesha kwamba jumla ya makusanyo yote yaliyoingia katika Mfuko Mkuu hadi Juni 30, 2022 yalifikia kiasi cha shilingi trilioni 35.486, lakini matumizi yalikuwa shilingi trilioni 36.063.

Itaonekana hapo kwamba matumizi ni makubwa kuliko makusanyo. Ripoti ya CAG imefafanua kwamba nakisi iliyopo hapo, kiasi cha shilingi bilioni 577, inatokana na miradi ambayo wafadhili waliamua fedha zitumike kwenye miradi moja kwa moja au ziingie kwenye akaunti za mashirika yanayojihusisha na mambo yaliyofadhiliwa. Hizo ni pesa ambazo hazikuingia kwenye mfuko mkuu wa Serikali.

Hii ni mara ya kwanza katika historia ya karibuni ya Tanzania hasa baada ya tukio la “trilioni 1.5” ambapo CAG aliruhusiwa kufanya ukaguzi kwenye Mfuko wa Hazina. Na ukaguzi huo sasa umefichua kwamba lile ‘shimo’ lililokuwepo zamani la kutowiana kwa mapato na matumizi ya serikali, sasa limezibwa.

Matokeo ya hatua hii ni kwamba leo mjadala hauhusu tena wapi zilipo shilingi trilioni kadhaa ambazo zilikusanywa lakini hazijulikani zilipo, mjadala unahusu kilichokusanywa kimetumika vipi. Mjadala sasa unajikita kwenye namna ambavyo mapato yametumika, siyo kwenye mapato yaliyoyekuka kusikojulikana kwa kutoonekana kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali na kutoidhinishwa na Bunge.

Hii ni hatua kubwa kwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ndiyo kwanza ametimiza miaka miwili ofisini. Kama wasemavyo Waswahili, yajayo yanafurahisha.
 
Attachments

  • HOTUBA TAMISEMI 13 APRIL 2023.pdf
    11.6 MB · Views: 1
Vitu vichache vya kipekee vinajionyesha katika bajeti ya Tanzania iliyofanyiwa ukaguzi na CAG.
Kwa mfano, kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kwenye miaka ya hivi karibuni, mapato yaliyopatikana yalizidi makadirio ya bajeti.
Naunga mkono andiko hili kwa 100% wengi ripoti ya CAG wanaisoma kwa kuangalia hasara tu zilizoorodheshwa hata hawafuatilii chanzo cha hasara hizo. Na hatuangalii archievements za serikali kwa kipindi hicho.
 
Naunga mkono andiko hili kwa 100% wengi ripoti ya CAG wanaisoma kwa kuangalia hasara tu zilizoorodheshwa hata hawafuatilii chanzo cha hasara hizo. Na hatuangalii archievements za serikali kwa kipindi hicho
Tatizo la wengi ni kufuata mkumbo
 
Mama anaupiga mwingi sana anastaili pongezi..
Rais Samia amelishughulikia Suala la CAG report Ndio njia sahihi: uwazi>Uhuru wa mjadala> Hasira >Hatua> Maelekezo> hatua zaidi zatakiwa! Bunge lisizuie mjadala. Acha Watu waongelee hoja za CAG. Huo Ndio mchakato wenyewe.

''Nafurahi sababu sasa kuna Uhuru mkubwa wa Majadiliano, jambo ambalo linatia faraja. Miaka michache iliyopita hapakuwa na Uhuru wa Majadiliano, tulikuwa tunafanya chambuzi kama hizi lakini bungeni hakuna.
AMEANDIKA ZITTO KABWE
 
Vitu vichache vya kipekee vinajionyesha katika bajeti ya Tanzania iliyofanyiwa ukaguzi na CAG.
Kwa mfano, kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kwenye miaka ya hivi karibuni, mapato yaliyopatikana yalizidi makadirio ya bajeti.

TOZO ZETU MNATUGIPA AFU MNAGAWANA HUKU MKISAFIRI DUNIA NZIMA BILA TIJA. HUKU KITAA MAISHA YAKIWA TIGHT
 
Attachments

  • HOTUBA TAMISEMI 13 APRIL 2023.pdf
    11.6 MB · Views: 1
PDF ya Bajeti Ipo Wapi..Ili Tuipitie na Sisi Hatutaki vya Kuambiwa Siku Hizi
Isitoshe mleta uzi hakutaja kuwa kubadilika kwa mfumo wa ukusanyaji mapato kwa kutumia "control number", ulioanzishwa Awamu ya Tano, na tozo za Awamu hii, ndio moja ya sababu za kuongezeka kwa makusanyo
 
Unaweza kuongeza pia, hakuna aliyekuzuia
 
Vitu vichache vya kipekee vinajionyesha katika bajeti ya Tanzania iliyofanyiwa ukaguzi na CAG. Kwa mfano, kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kwenye miaka ya hivi karibuni, mapato yaliyopatikana yalizidi makadirio ya bajeti.

Kwenye vitabu vyake, CAG ameonesha kwamba ingawa serikali ilipanga kukusanya kiasi cha shilingi trilioni 36.681 lakini ikakusanya shilingi trilioni 37.992 – ongezeko la asilimia 4 kulinganisha na matarajio.

Katika hali ya kawaida, kutokana na ukosefu wa usimamizi uliojionyesha huko nyuma, ongezeko hili la mapato lingezua changamoto na huenda lingepotea. Lakini kilichotokea ni tofauti. Fedha zote zilizokusanywa na serikali zimepelekwa kwenye Mfuko Mkuu (Consolidated Fund) na kiasi kilekile kilichokusanywa ndicho hicho kimekwenda Serikalini.

Kwa mfano, jedwali la CAG linaonesha kwamba jumla ya makusanyo yote yaliyoingia katika Mfuko Mkuu hadi Juni 30, 2022 yalifikia kiasi cha shilingi trilioni 35.486, lakini matumizi yalikuwa shilingi trilioni 36.063.

Itaonekana hapo kwamba matumizi ni makubwa kuliko makusanyo. Ripoti ya CAG imefafanua kwamba nakisi iliyopo hapo, kiasi cha shilingi bilioni 577, inatokana na miradi ambayo wafadhili waliamua fedha zitumike kwenye miradi moja kwa moja au ziingie kwenye akaunti za mashirika yanayojihusisha na mambo yaliyofadhiliwa. Hizo ni pesa ambazo hazikuingia kwenye mfuko mkuu wa Serikali.

Hii ni mara ya kwanza katika historia ya karibuni ya Tanzania hasa baada ya tukio la “trilioni 1.5” ambapo CAG aliruhusiwa kufanya ukaguzi kwenye Mfuko wa Hazina. Na ukaguzi huo sasa umefichua kwamba lile ‘shimo’ lililokuwepo zamani la kutowiana kwa mapato na matumizi ya serikali, sasa limezibwa.

Matokeo ya hatua hii ni kwamba leo mjadala hauhusu tena wapi zilipo shilingi trilioni kadhaa ambazo zilikusanywa lakini hazijulikani zilipo, mjadala unahusu kilichokusanywa kimetumika vipi. Mjadala sasa unajikita kwenye namna ambavyo mapato yametumika, siyo kwenye mapato yaliyoyekuka kusikojulikana kwa kutoonekana kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali na kutoidhinishwa na Bunge.

Hii ni hatua kubwa kwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ndiyo kwanza ametimiza miaka miwili ofisini. Kama wasemavyo Waswahili, yajayo yanafurahisha.
Pia ni mara ya kwanza Tanzania kuwa na TOZO za Miamala ambayo imekuwa sehemu muhimu ya mapato ya Serikali.
 
Kwa hiyo mnataka wezi wakikamatwe kwa sababu serikali ilikusanya zaidi ya kadirio ya bajeti?

Au wenzetu mnataka nini?
 
Acha uongo wa makaratasi huo upigaji unauweka wapi kama pesa zilipelekwa kwenye mfuko unaodai?
 
Uzuri wa walamba asali wanajua kusifia hatari.

Wanakula na kipofu, kwahiyo wanahakikisha hawamgusi mkono.

Chezea walamba asali! 😁
 
Uzuri wa walamba asali wanajua kusifia hatari.

Wanakula na kipofu, kwahiyo wanahakikisha hawamgusi mkono.

Chezea walamba asali!
BAJETI KWA SASA ZINAWEKWA KWENYE MAKADIRIO MADOGO, ILI MWISHO WA SIKU ITANGAZWE KUWA MAKUSANYO YAMEFANYIKA KWA ASILIMIA ZAIDI YA 100

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo mnataka wezi wakikamatwe kwa sababu serikali ilikusanya zaidi ya kadirio ya bajeti?

Au wenzetu mnataka nini?
Huo mleta mada anavinasaba kama za zito ndo anamahaba ya na saa100 licha ya kuwa mehela mengi eti yamelambwa yeye hajali .lililo la msingi ni mahela ni matumizi kuzidi makusanyo
 
Back
Top Bottom