Mh Judge Biswalo ni kiongozi muadilifu, mchapakazi, mtenda haki.
Aliopokuwa DPP aliifanya kazi yake kwa weledi mkubwa. Alihakikisha mafisadi wanaonja uchungu wa kuiba mali za watanzania bila...
Jana Jumamosi 15/04/2023 Waziri Mkuu alikuwa Zanzibar akizindua kitabu cha taarifa ya Sensa iliyopita, kwenye uzinduzi huo walikuwepo wananchi ukumbini ambao walikuwa wakipepea bendera za taifa...
Tumeona katika ripoti ya CAG kuwepo kwa mdafudu mengi na hasa katika mashirika ya Umma, jambo hili pamoja na mambo mengine limesababishwa na yafuatayo;
MOSI:
Mashirika kunyanganywa uhuru wa...
Tunashuhudia jinsi ambavyo mambo yanaenda ovyo kila mahali ukilinganisha na utawala wa marehemu JPM. Hali ni mbaya sana. Huyu Rais kwa kweli hatufai Watanzania. Hili ni jambo la wazi kabisa...
Mzee Kawawa alikuwa mbunge wa Liwale ( ukweni) na akasemwa sana amesahau kwao Songea
Vita Kawawa ( mwanae) ndio karudi nyumbani Namtumbo na kaukuta Umaskini Ule Ule wa mwaka 47
Mimi nampongeza...
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Mzalendo wa kweli daima anaweka maslahi ya nchi mbele na ya kwake binafsi nyuma.
Kwa maana hiyo hapo juu, mzalendo...
Mbowe anasema Watumishi Umma wachunguzwe maisha wanayo ishi kama Yana ualisia na mishahara tunayowalipa?
Mimi nitakuwepo kwenye Maandamano ya ACT wazalendo nashauri yalindwe na Polisi wasio na vyeo.
Leo Bungeni wakati wa maswali na Majibu, Kuna swali lililohusu mabadiliko ya mitaala ya Elimu ili kuendana na hali ilivyo.
Naibu waziri wa elimu alikiri kuwa mfumo wetu wa Elimu uliopo haumsaidii...
DITOPILE AUNGANA NA WANA CHAMWINO KWA IFTAR, WAMUOMBEA DUA RAIS SAMIA
Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameungana na...
Mbunge wa Viti Maalum Wanawake (UWT) Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Daniel Shonza ametoa Tracks Sut 64 na Pedi 128 zenye thamani ya Milioni 1,600,000 kwa Wanafunzi wakike 64 waliounguliwa na Bweni...
Naomba watanzania tuamke Hali ya ufisadi ni mbaya Sana kwenye nchi yetu Chini ya huu utawala, tukemee huu ufisadi aisee.
Mfano kwenye utawala huu walisaini ujenzi wa Reli lot 3 na 4 ambao...
Nilidhani ni Dar tuu, nimezunguka karibia mikoa yote, ni Mabango tuu ya Picha za Mama.
Kwa jinsi gharama zilivyo kuprint na kukodi space, nadhani gharama zake zinaweza jenga kituo cha afya...
Ikiwa tutaamua kufanya utafiti leo katika mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, TikTok na mingine, utagundua kwamba Siasa za Nchi miongoni mwa vijana zimezimia kama siyo kufa.
Content...
Kwa muda mrefu huyu rais anajitambulisha kuwa yupo kwa ajili ya kuukuza uisilamu, rais Mwinyi huko nyuma aliwahi kusema ataongea na rais wa Tanzania kuona jinsi serikali ya Zanzibar inavyoweza...
1. Kiongozi yoyote wa serikali au CCM akiongea hawezi kumaliza sentensi mbili bila kutaja jina lako.
2. Sasa hivi karibu miji yote mikubwa kuna mabango makubwa ya kukusifia. Bajeti yake...
Wasiwasi wa Wakenya wengi miaka miwili nyuma kuwa Serikali ya ya Tanzania Chini ya Rais, Samia Suluhu Hassan uenda ikapindua meza na kuwa TAIFA lenye Uchumi mkubwa dhidi ya Kenya kabla ya mwaka...
Nauliza tu kwa sababu sijaona mwarabu anafuturisha huku Watu wameketi kwenye chair and table
Lakini kwa Wabongo ni kawaida sana kukuta meza na viti vimeandaliwa na Mfuturishaji kwa ajili ya...
Fanya utafiti mdogo utagundua Wizara zilizotajwa na CAG kuongoza kwa Ufisadi Mawaziri wake ndio hawakuamimiwa kabisa na Shujaa Magufuli na wengine aliwatumbulia mbali
Ni hayo tu
Mlale unono!
Mwitikio umekuwa mkubwa sana ila sina Hakika kama wote watakaa hadi Magharibi
Mungu wa mbinguni wafanyie wepesi Chadema Ili lengo la Mkutano litimie hususani kuchambua Ripoti ya CAG
Mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.