Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 3,119
- 1,430
Mbunge wa Jimbo la KITETO MHE.EDWARD OLE LEKAITA, anaanza ziara ya Kikazi Jimboni kwa ajili ya kutoa mrejesho wa Bunge la Bajeti kwa Wananchi, Kutatua kero za Wananchi na kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
OLE LEKAITA (MB) anaanza ziara ikiwa ni utaratibu wake wa kutoa mrejesho kwa Wananchi mara baada ya Bunge la Bajeti kukamilika.
OLE LEKAITA (MB) ataambatana wa Watalaam wa Halmashauri ya Wilaya ya KITETO kwa ajili ya kutoa ufumbuzi wa kero za Wananchi.
"KAZI NA MATOKEO"
Imetolewa na:
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Kiteto
5 Julai, 2023